What happened to kenyan music jamani?

maatope

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
1,424
956
Back in the days hapa Tanzania, Nameless,Wahu,nNecessry noise,Prezzo ilkuwa shida,walibang na wengineo,

Siku hizi ukiongelea Kenyan music hapa Tanzania ni Sauti sol( damn i love these guys,kiukweli wako really ki music, huyu Diamond wetu ni overrated kabisa)na wale wadada wawili wanaitwa Elani kama sikose nini kimetokea jamani.

Kina Nyashiski wako wapi?tuendelee ma tusiendeleee?
 
Last edited:
hahahaha@SaintIvuga ushawasikia Elani,sautisol?wakenya bado wako vizuri nahisi kuna sehemu walikosea aisee...sautiosol ni world class, i like them
 
Last edited:
BansenBurner nitakubaliana na wewe labda wakenya wamekosa umoja ingawa bongo uko uko wa kinafiki ila atleast wanasapotiana..kuhusu diamond,kwangu ni studio artsist,nyimbo zake nazikiliza hata kwenye laptop yangu most of the time,nazipenda ila liveshows zake ni disaster for godsake,he is a dancer kwenye liveshow zake,he sounds like a frog hana sauti kabisa ya kiumbaji
 
Last edited:
it all has to do with EATV . It played a big role those days in promoting east african music, because of EATV bongo flavour was also very popular in kenya and vice versa. these days for your song to hit across east africa lazima iwe bonge la beat, thats why its only the likes of diamond , alikiba, vanesa mdee and sauti sol are all over the airwaves.

but i do agree kenyan music has gone down.
 
There's no such a thing as overrated, you earn it. Dayamondi earned it. Hard work beats talent and that's exactly what Dayamondi is doing.

Back to Kenya, couple things happened to Kenyan music industry; hawana ushirikiano na jaribio la kulipa mirahaba wasanii kwa kadri wanavyopigwa na vituo vya TV na radio vilipelekea kuua mziki wao. Kwenye ulipwaji wa mirahaba Tz tuna jambo la kujifunza
 
naona sasa show zote za maana wanamwachia kiba, kama ya jana na safaricom, teh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom