mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,475
- 21,046
Unatushaurije sasa sisi ambao timeshaanza kufanya kabla ya ndoa?
Itunze ukikaa sana unakua bikra
Unatushaurije sasa sisi ambao timeshaanza kufanya kabla ya ndoa?
Wewe na yule mwenzako hamshauriki.
Itunze ukikaa sana unakua bikra
Unatushaurije sasa sisi ambao timeshaanza kufanya kabla ya ndoa?
wamekusikia... wataanza kutunza miili yao isiibiwe, naona wezi wameongezeka
Inasemaje........?....
ujichunge nsikuibe....
Mweee.......uniibe......?....
Hivi huoni aibu ya kuzaa ukiwa kwenu na watoto wakalelewa bila baba?