witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,830
- 47,772
Sasa hivi atapata marafiki wa kufa mtu ( maana hapo kwenye pics kundi kubwa linamsindikiza job[emoji16] [emoji16] [emoji23] [emoji23] [emoji23] )...awe makini asee ikibidi adeal na wale aliokuwa anashare nao upupu!View attachment 416692
View attachment 416693
View attachment 416694
View attachment 416695
Huyo ndo bwana Magoti anaenda rasmi kazini Bank Of Tanzania.
Ama kweli hakuna aijuaye kesho.
Big up kwa wanawake ambao wako na majamaa zao waume zao kwa hali yoyote hadi walipofikia hapo walipo na bado wako pamoja... Big up kwenu.