Wawilaya
Member
- Dec 4, 2013
- 85
- 56
Wanawake sikuzote akilizao ni sawa na za mtt mdogo simemi hivo kwa mana kwamba na wadharirisha wana wake hapa msininukuu vibaya mwanamke ni mtu ambae anapo ingia kwenye swala la starehe huwa anasahau kama Kuna shida lakini pia Mwana mke huwa ana lubuniwa kwa kitu kidogo kabisa kwa mfano anaona ni bora efl50,00/=yasiku moja anaona ni bora kuliko elf 5000/=ya kila siku. Nakupa mfano harisia ulio ni tokea mie. Baada ya kumaliza form 6 siku bahatika kupata chuo. Kikakaa nyumbani. Kuna binti furani nilikuwa na mpenda sana nilimtambulisha nyumbani wazazi wangu walim faham kwamba huyo ndio mke wangu mtarajiwa mwaka ulio fuata nilifanikiwa Kupata chuo cha railway nikaenda kosomea coz ya locomotive drive miaka miwili nikimaliza Nikaajiliwa shirika la railway baada tu ya kuajiliwa nilianza kujipanga kimaisha nilihamishiwa tanga kikazi wakati nipo huko tanga mchumba wangu kanipigia sm kwamba ni memuachia ujauzito nikasema wa ngojea tufanye mchakato tufunge ndoa time endelea hivo hivo nikiwa na hudumia mimba ya yule mwana mke alipo mkoani kwetu dodoma. Alipo jifungua kani Fahamisha wangu nimejifungua mapacha. Nikatuma hela za matumizi baada ya mwezi mmoja nikapigiwa sm na mtu ambae simfaham kaniambia ww ni flan nikasema ndio Aisha unamfaham nikasema ndio namfaham ni mchumba wangu jama yule kacheka sana kaniambia mpaka saiv ni mtu wangu na hawa wa tt ni wa kwangu kama huamini Onge nae saiv huyu hapa huo Ulikuwa usiku wa saa 5 akapewa sim Aisha kuongea na mm nikaoge nae akaanza kulia kwa kuniomba msamaha kwa Kuwa a lini danganya kuwa ni watoto wangu. Ni historia ndefu sana Ngojea niishie hapo lakini mwanamke sio mtu wa kumuamini hata siku moja samahanini San mama zangu lakini du
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app