UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
[emoji16][emoji16].Hili swali huwa nalijibu kwa kiingereza hili kuraise social status yangu abruptly.
Badala ya kusema ni mfanya usafi huwa nasema confident "I'm Cleaning supervisor"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hili swali huwa nalijibu kwa kiingereza hili kuraise social status yangu abruptly.
Badala ya kusema ni mfanya usafi huwa nasema confident "I'm Cleaning supervisor"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] af unakuta unaulizwa did u mean a military officer[emoji16][emoji16].
Security officer.
Mlinzi.
kumbe mkuu kiingereza kinaficha mambo mengi?Hili swali huwa nalijibu kwa kiingereza hili kuraise social status yangu abruptly.
Badala ya kusema ni mfanya usafi huwa nasema confident "I'm Cleaning supervisor"
[emoji23][emoji23]. Sema hawa wa kwetu kuulizwa ni baadae saana. Ila. Weupe on the sport kabla hata ya mazoea.[emoji23] [emoji23] [emoji23] af unakuta unaulizwa did u mean a military officer
Hawapendi lessproductive conection nachopenda wako wazi sana[emoji23][emoji23]. Sema hawa wa kwetu kuulizwa ni baadae saana. Ila. Weupe on the sport kabla hata ya mazoea.
Dada zetu nao naona wameanza kumkaHawapendi lessproductive conection nachopenda wako wazi sana
Moja ya mambo ntawatrain wanangu nikujua kutumia fursaDada zetu nao naona wameanza kumka
Kiingereza ni lugha ya kujifunza kwa nguvu zote na akili yote. Haijawahi kuniangusha.kumbe mkuu kiingereza kinaficha mambo mengi?
Aaaaaah!![emoji23] [emoji23] [emoji23] I'm at your service sir.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daah umenchekesha sana
HahahahaHili swali huwa nalijibu kwa kiingereza hili kuraise social status yangu abruptly na kuziba mianya ya maswali yasiyo ya lazima.
Badala ya kusema ni mfanya usafi huwa nasema confidently "I'm Cleaning supervisor"
Hahaha hongera mkuu,maana nahisi kazi ilikuwa safi baada ya hapoKiingereza ni lugha ya kujifunza kwa nguvu zote na akili yote. Haijawahi kuniangusha.
Nilishawai kupewa international status nchini Rwanda kisa nimevurumusha kiingereza fasaha kwenye presentation yangu na Dada zao jicho alikukatika kwangu kwa kipindi chote cha workshop. Usiulize kilichotokea punde baada ya hapo. Its a potential disaster.
Alaaa! Ilikuwa "nyeupe" tu mkuu!Hahaha hongera mkuu,maana nahisi kazi ilikuwa safi baada ya hapo