HillaryKombe
Senior Member
- Mar 1, 2014
- 122
- 42
What does open relationship mean? I see a lot of people updating their status and saying they are in an open relationship. What does it mean when you are in an open relationship? I am very curious..
a marriage or relationship in which both partners agree that each may have sexual relations with others.
Mweeeeeeh!
what goes around comes around.i didnt get you clear,let me call ma chick she may get you well
hiyo ndo definition sahihi ya open relationship kinyume cha hapo ni kudanganyana na kutoa defn zisizo sahihi.
Ni mahusiano ambayo una mpenzi/mke/mume wako, na.pia unaweza kuwa na mahusiano ya kimapenzi na watu wengine na huyo mpenzi/mke/mume anajua na hakuna rabsha yoyote.
Wengi hudhani ni mahusiano ya waziwazi kwamba kila mtu anajua,vingine uki-google tu unapata majibu. Wenzetu wana aina nyingi sana za mahusiano hadi kizunguzungu kuyaelewa.
haya chukua hiyo rafiki bora mleta mada ameleta kidogo watu watapata kufunguka na kuelewa wengine hufikiri kwmamba ni eti mahusiano yaliyo ya wazi-hapa huwa wanafanya tafsiri sisisininikuwa sijui mwenzio!
What does open relationship mean? I see a lot of people updating their status and saying they are in an open relationship. What does it mean when you are in an open relationship? I am very curious..
nadhani inamaanisha kwamba mnataka mahusiano yenu yafahamike kwa kila mtu
What does open relationship mean? I see a lot of people updating their status and saying they are in an open relationship. What does it mean when you are in an open relationship? I am very curious..
Don't worry I will buy you a brain!!