Mara ya kwanza nilijua unatutania kwa ulivyoandika. Ulivyo mjibu Daby kwa kiswahili nikajua upo serious. In short English yako iko poa kwa level za watanzania wengi, endelea kusoma novel na movie za kizungu sio za kikorea[emoji12]
Daby kakujibu vyema sana.
Naona Daby alikulistia mambo kibao kukupa maana ya 'Mbovu'. Nikurahisishie 9/10 times when a man says yule mwanamke mbovu, ujue huna mvuto wowote.
Nikupe mfano tu, mimi nilisha date girls wengi ila ambao nimewaweka kwenye social media ni wanne tu. Na sijawaho kuwafuta even though nipo na another girl. Why is that?
Dunia ina mapambo yake, ukiacha Nyumba, Pesa na Magari, ni Wanawake. Wanaume tunapenda sana kushowoff what we got. Binafsi niliwapost hawa wanne maana walikuwa visu kwa mtazamo wangu. Wengine walikuwa wa kawaida.
Don't feel bad, why is that?
Kuna kupenda kwa aina nyingi, binafsi, wale wadada niliowapost wengi walikuwa na tabia za ovyo ovyo, lakini walikuwa na mvuto wa nje. But the girls who I really liked nina imani most of the men here wangewapita barabarani bila hata kuwaangalia. Wala usijali, usikute hao aliowapost ni macapult ukicompare na wewe. Sema tu ni ile jamaa anataka aonekana nae anadate visu.
-callmeGhost