Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Kuwekwa kwenye social media sio kupendwa ila kumweka mwingine ilihali Wewe Ulikuwa hauwekwi Kuna walakini Labda Wewe hukupendwa.Halo Daby,fine ? Nauliza kwanini au inakuwa vip una boy friend mnapendana saana lakin hataki kuweka relationship Status kuwa you are together, but after being apart ndo anaweka picha kwenye social media kuwa Ana mwingine na yako hajawi eka, na ilikuwa wamsihi daily aeke,
Ni kwanini au utajiskia aje ? Kuona anaweka ya mwingine baada ya kuachana wakati he never did it wakati yuko nawe
Lingine fb dp zinafit Watoto wazuri man'ganyuu wa kuuzia. Pia huwenda asiyewekwa ni mbovu.