What does girls need?

princess enny

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2012
Posts
1,038
Reaction score
381
everygirl wanta a guy
who hugs her when they are watching a scary or romantic movie
who gives her his jacket even when he himself is feeling cold
who will always be the one to make her laugh
most importantly he will love her for whom she

that guy is what google calls "NO RESULT FOUND"
:nono::nono:
what do you think does gals or boys wants??
 
mhh.. no result found.!!? mbona anapatikana au umetumia google ya china..
 
Wanawake wa sikuizi wanapenda uongo!
 

Mhmmm!!! Ngoja kwanza nikalale...nikiamka nitakuja kujibu
 
mi mbona wangu yupo hivyo.......na hakuna cha limbwata wala ndumba.......
 
Piga ua garagaza wanawake wanapenda pesa sana bana.
Hadi tusionazo tunaishi kama wakimbizi ndani ya ndoa.
Ngachoka kabisa.
 
Boys, girls, men, women, watu wengi wanajitakia kua happy tu. Happiness is the quest here.
 

mpk sasa uwa siwaelewi wadada uwa wanataka nini, wasumbufu tu
 
upendo wa dhat na furaha katika hayo mapenzi, hayo mengine mbwembwe tu
 
We take a step to save our life, because happiness is all we need!! Thus.....we want love as far as we need happiness.....certainly!!
 
mbona wapo sana mpz
 
Accordin' to me gals expects so many from her Boyfrnd/Husband.
She wants him to share his every moment of life, may b it's MAZURI au MABAYA ! As she shared with him.
Expects him to b honest, true lovin', caring , mutual understng, readyness to help her while in problems, towards their Mahusiano na mengineyo.
Yapo mengi bt kwa leo yatoshe haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…