What do you think this man is thinking about his daughter?

Huwa najiuliza sana wale wazee weru wa enzi za mwalimu amekaa high table pale halafu mnakuja mnacheza cheza km harusi zenu sasa hivi, bibi harusi anakata viuno Mbele ya wazee! Wale aaargh wapi nadhani ndoa isingekuwepo
 
Anafikiria ela alizowekeza hapo,halafu muhuni mmoja anamwambia kwa ishara ...umechemka mzee.
 
Huwa najiuliza sana wale wazee weru wa enzi za mwalimu amekaa high table pale halafu mnakuja mnacheza cheza km harusi zenu sasa hivi, bibi harusi anakata viuno Mbele ya wazee! Wale aaargh wapi nadhani ndoa isingekuwepo
Mkuu nina clip nimetumiwa yaani ukiiona anachokifanya bibi harusi ni aibu sana kwa wazazi wake
 
kuna siku manzi mmoja aliwahi nitamkia laiti kama wazazi wangejua ninachokifanya saa hizi wangekataa mm si mtoto wao..
 
Back
Top Bottom