Hamnaaa, anashangaa jinsi mtoto alivyobadilika ghafla kuitaka dyuduuu haha haha cheki jamaa lilivyokamata kiunoAnasikitika kua alikua akiishi na mwanae nyumbani na kumuona kila siku na kumpatia mahitaji yote muhimu ila kwasasa kwa vile anaolewa,hana uhakika kama mwanae atapata maisha mazuri huko aendako,pia atam misi sana!
Mkuu hiyo ni nature huwezi kuipinga, tukikataa watoto wa kike, sisi wakiume tutazaliwaje?Ndio maana sipend watoto wa kike
Mie nilifikiri ni MC wa siku hiyo.huyo mzee hapo ni baba wa huyo bint
Yaani mwanangu anaenda kugongwa na linjemba? Hapana aiseeMkuu hiyo ni nature huwezi kuipinga, tukikataa watoto wa kike, sisi wakiume tutazaliwaje?