What do you miss about your ex?

Why mliachana??
 
Reactions: BAK
Braza JOSEVEREST, umetisha sn. Almost kila txt unatxt wa kwnz.
Mm namis vingi, bt its all gone...!!! Sio kesi. Yalishapita. Ndo maana ya neno "EX"
Dah na we umeligundua hilo asee... Jamaa anajitahidi, kila text yumu kama sio wa kwanza atakuwa wa pili
 
Haya nawaona nawaona tu wapenda papuchi na mitwangio.
 
Upole wake..he was easy going..na yote tisa kumi sijawahi pewa pesa na mtu kama vile aisee...milioni laki 5 nikigusa tu dear nna shida nsaidie nakuomba mpenzi, hioo kitu na box...
[emoji56] [emoji56] [emoji56]
 
Kwa mimi namiss sana:
His kisses and hugs
Morning sex
I miss falling asleep on his chest

Sijui wanajf wengine uwa mnamiss niniπŸ˜‰πŸ˜‰

SIJAWAHI MMIS TENA ,kwakweli nawaza kutafuta hela ili mwakani ndoto yang ya kutembelea prado itimie ..nimmis mtu ambae hachangii hata wazo la kunipa fursa ya hela? mimi mchaga eti...kwa kitu gani alichokuwa ananipa...angeniona nina umuhimu kwake asingeniacha,,,huo muda unaommis yeye ungewaza kitu gani cha kuleta maendeleo kwa MAISHA YAKO ya badae kinafaida kuliko kummis mtu asiye na faida kwako -
no time to waste thinking about former lover
 
Heheheheeee okay love nimekuelewaπŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…