What do you miss about your ex?

Mkuu hizo sifa za aliyekua Suzan wako zinafanana kabisa na Suzan wangu yaani copy& paste
 
Kwa mimi namiss sana:
His kisses and hugs
Morning sex
I miss falling asleep on his chest

Sijui wanajf wengine uwa mnamiss niniπŸ˜‰πŸ˜‰
Simiss kumkiss ila ni kwa yeyote mwenye lips laini na Safi mwenye maujuzi ya kunipa real love nikaridhika fresh tu nimmiss ye Nani

[HASHTAG]#usingoboi[/HASHTAG] ni kazi isiyohitaji vyeti
 
Move on bhna mapenzi ya utotoni yasikupe shida afu kama yupo tayari kumuacha mwanaume mwingine kwa ajiri yako kwann Hua mnaachana huoni kama anakuacha kwasababu ya mwanaume mwingine?
Huyo sio Mwanamke wa kuoa mmeachana Mara mnarudiana ndo nini
 
Halaf uambiwe mke mwema anapatikana humu kwa hali hii.....hizi habari zinavunja moyo sn kwny issue ya mahusiano unalala mtu ambaye anawaza mtu mwingine
Tehe tehe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…