What do you men want???

..... Swali langu kwa wana JF wanaume wanapenda mwanamke watabia gani, player anaepretend he is the only one, au anaesema I have a true love so don't break my heart, please mawazo yako ni muhimu nitaelewa what is this world of love all about and I will take it from hapo.

Bahati mbaya sana, haya mambo hayana formula na mbaya zaidi mtu ambaye wewe unampenda sana na yeye hakupendi hana alama yoyote ya kukufanya ujue hivyo kama ataamua kupretend kuwa anakupenda ...! Lakini siku zote, mahusiano ya karibu kwa muda mrefu kiasi yanaweza kuja kufichua mambo kama haya yako na mi naona umekuwa na bahati kuligundua hilo mapema kabla haujafanya commentment kubwa zaidi ....

Katika kipindi cha mwanzo cha mahusiano ni vizuri sana kujiweka tayari kupokea lolote badala ya kumpenda mtu mzima mzima! Madhara yake ndiyo hayo, ukigundua vinginevyo unateseka moyo na akili. Narudia tena, hakuna formula mama ktk hili, maombi kwa Mola wako yanaweza kusaidia kumpata mtu mwaminifu kwa kadiri ya imani yako kwa Mungu wako ...

Pole sana.
 
Bahati mbaya sana, haya mambo hayana formula na mbaya zaidi mtu ambaye wewe unampenda sana na yeye hakupendi hana alama yoyote ya kukufanya ujue hivyo kama ataamua kupretend kuwa anakupenda ...! Lakini siku zote, mahusiano ya karibu kwa muda mrefu kiasi yanaweza kuja kufichua mambo kama haya yako na mi naona umekuwa na bahati kuligundua hilo mapema kabla haujafanya commentment kubwa zaidi .....

Well said HorsePower huyu binti ana bahati kaujua ukweli..no matter how long it took!..kuujua ukweli on your partner ni ushindi somehow..Wakati mwingine lazima kukubali tu kuwa Mapenzi na namna ya kumaintain Mapenzi ni jambo ambalo halifanani sana kwa kila mtu. Katika dunia iliyojaa wanawake 'cheaterz' na wanaume 'play boys' kinachotakiwa ni kuwa na subira na kila hatua unayoipiga kwenye mapenzi..inakupa courage ya kumjua mwenzi wako vizuri!!!Watu wajitahidi sana kupenda kwa subira..Unampendaje mtu 100% ndani ya miezi sita tu???...
 
Last edited by a moderator:
You know what is your Problem?, the way u approached him. ulienda mzima mzima, watu wengine hawapendi kuoa majibu yenye kukatisha tamaa.na wakati mwingine si vizuri kuonyesha kwamba we ndio mwenyeshida sana na kitu, japo kinyume chake ndio ukweli halisi.

pole sana, funga buti na piga ajua yaanni anza moja.
 
Kaka asulo kusema Kweli ku do is just a dream thing, coz we are both so busy....Kama humpendi mtu siunasema sikupendi, ila ukimuuliza unnipenda atakujibu yes I do, then why do u have someone Ohh anajibu haijielewi kwanini, what kind of a man is that. Naukimwambia Haya nimeambua ku give up, can't be u, anakwambia it's u I love, utasema nini hapo
 
mabinti wengi mnaojionaga mko perfect uwa hamfki mbali ktk mahusiano
 
Pole sana kwakweli i feel u sana tuu, unaona haya ndo mambo yanayopelekea wanawake wengine kuwa na mafiga 3 au zaidi ili kuepusha hizi heartache za ajabu ajabu.. pole sana mamiii.
Ushauri wangu let him go frm ur heart let him go... u may ask how? well try go out hang with friends make new friends,, and enjoy the simple pleasures of life keep urself busy with time u will forget him...
Dont beleive him or any of his word,, how can u believe in a man who was able to keep such a big lie from u for a year... NEVER TRUST HIM AGAIN dont believe him hata neno moja,, he cant be serious kusema ati anawapenda wote NO and if its tru that he said he wud leave the other woman for u... LET HIM PROVE THAT LOVE HE CLAIMS FOR U AND HE HAS TO PROVE IT BIG..
Hata kama ni wewe ndo ulimuanza it doesnt make u cheap just bcoz u have expressed ur love to him.
ALL THE BEST.. POLE
 
nyie wanawake na sisi wanaume wote tunadanganyana sana tu, tofauti inakuja kwamba nyie wanawake mnaweza kumuamini mtu mara moja na kumpa moyo wote! kwa kweli mimi kwenye mahusiano niko mguu nje mguu ndani.. IF God wish mpaka nije kuoa.
 
hiyo ngoma hukuicheza kike mdogo wangu,u offer everthing!hukumuacha huyo mwanaume awe mwanaume,uliamua kutake hiyo role wewe!mwanaume hataki kuwa challenged(ulianza wewe kumwambia unampenda TO A MAN THATS CHALLENGE)
ulianza kumuonyesha interest na kumpa namba(for a man thats another challenge)
ulikuwa unashare nae bill cost(again thts a big challenge)
ukaharibu kabisa ulipomdiscourage na swala la ndoa(ulicement ukweli kuwa hawezi kukuweka chini yake)
SO BY DOING THAT U LET HIM GO URSELF
na hii ni kwa mabinti wote acheni kuplay role za wanaume kwenye mahusiano yenu hizi ndoa na ideal men mtazidi kuwaona kwenye series tu!
 
ulitaka kuongea exactly nilichotaka kusema hasa la mwisho
nikaona uvivu
yaani haya mahusiano huyu dada ndo yuko in charge
na hampi nafasi mwanaume awe mwanaume
sasa alipomwambia sio lazima kuoana,jamaa akatafsiri
'siko ready kuwa mkeo,nakuangalia tu kwanza' lol
kidume kikaona ya kazi gani,wakati kuna wengine nikiwaambia
nikuoe wanaandaa mdundiko kabisa...lol
 
halafu wakiolewa mwanaume akiwa halipi kodi wala da za watt wanakimbilia kusema nimeolewa na mume suruali,kumbe ye mwnyewe kaanzisha,hivi ni kweli jamii inahitaji zile informal education kiasi hiki?sikujua i see
 
kabisa kabisa...
mwanamke akijifanya kimbelembele na kulipa
wakati wa 'ups' za mahusiano,unafikiri kwenye 'downs'
mwanaume atafanyaje?..
kuna familia unakuta 'mama bila kumshirikisha baba,anapeleka watoto
very expensive school'...sasa ikitokea uchumi wa mama umetetereka
hata kama baba anazo,utasikia...'we si ulijifanya unaweza'
haya lipa sasa hizo ada,mimi msiniambie'

nina cousins elimu yao iliharibika sababu ya mambo kama haya
watoto wako Nairobi wanahitaji ada,huku baba na mama hawaelewani...
 
Kaka asulo kusema Kweli ku do is just a dream thing, coz we are both so busy....Kama humpendi mtu siunasema sikupendi, ila ukimuuliza unnipenda atakujibu yes I do, then why do u have someone Ohh anajibu haijielewi kwanini, what kind of a man is that. Naukimwambia Haya nimeambua ku give up, can't be u, anakwambia it's u I love, utasema nini hapo

Sikitu dada yangu mimi ni mwanaume,na ninajua jinsi gani wanaume tulivyokuwa ving'ang'anizi pale tusipotaka kitu kitutoke.
Huyo bwana atakuwa anataka kukutumia tu,ila ukweli unabaki palepale kuwa wewe si chaguo lake hasa ndo maana kapata kiburi cha kukuambia hvyo. We mwambie umtaki..na kaa kimya kama wiki nzima bila kufanya naye mawasiliano yoyote yale uone kama hatakusahau totaly..Finaly then U'll get conclussion.
 
Mimi ni mmoja wa watu wanaoamini kuwa ukimtongoza mwanaume wa Kiafrika basi ujue penzi lenu halina maisha.
Kwa sababu uwezekano wa kukukubalia ni 99% hata kama hakufeel...awe single au mume wa mtu.

Huyo jamaa hakukupenda at first place lakini alikuona kama zali la mentali...amepata pa kubadilishia mboga.

Next time usi mtongoze mwanaume wa Kiafrika, subiri akutamkie yeye...kama mzungu poa.

Maana hapo akawii kukwambia "nilikufata au ulijileta mwenyewe?" which is painful lakini ndio ukweli wenyewe.

You know what is your Problem?, the way u approached him. ulienda mzima mzima, watu wengine hawapendi kuoa majibu yenye kukatisha tamaa.na wakati mwingine si vizuri kuonyesha kwamba we ndio mwenyeshida sana na kitu, japo kinyume chake ndio ukweli halisi.

pole sana, funga buti na piga ajua yaanni anza moja.
 
Na kuna possibility kubwa kuwa wakati anakukubali hakuwa na girlfriend...ila anajua hilo la kukwambia alikuwa na mwingine ni jibu sahihi kwa kuwa wewe ndiye ulomfata yeye. Anataka kukufanya umuone hayuko guilt, ila ni wewe ulim-seduce.
 
Gosh!!pole mwaya mi mwnyw nipo ktk msoto wa mapenz..wat i thnk hawa men wanapenda grlz wanoprentend
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom