What do intelligent guys look for in a girl?

tunaangalia msambwanda,sura hata mbuzi anayo na tabia tutarekebishana
 
Very true
Kuna wanawake wana "looks" za kufa mtu lakini kichwani ni sifuri hadi kero. Hamna kitu cha maana mnaweza kuongea
Ata wanaume wa hivyo wapo!!! Ukiwa unamuelewesha kitu kama vile unaongea na ukuta!!! Akili iko too slow
 
Ni kweli. Vilaza wapo pande zote mbili. Mkikutana Intellligent si rahisi kuachana. Hata mkiachana kimapenzi uwezekanao mkubwa mtabaki marafiki na kuendelea kuwasiliana kwa muda mrefu
 
Kweli kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom