Mama yangu alikuwa ananikataza kukunja uso hasa juani, sasa najua kwa nini. Nina ndita moja hio inanipeleka uzeeni kwa sababu nilikaidi.
Sasa epuka kukunja uso mkuu.
Kula matunda, kunywa maji, usile fat na carbohydrate kupitiliza.
Epuka jua na vumbi vinakomaza sura.
Nyumbani Kigoma tuna amini makes fresh hatuza ngozi, ongezea parachichi, mayai, tikitik nk
Kama huwezi kuvitumia moja kwa moja nunua lotion zake.
Usisahau sex huchochea kuchosha mwili.