Nimekutana na hii kitu kwenye mail box yangu.Simfahamu huyo mtumaji.Ajabu zaidi hizo wanita22efua@yahoo.com na wanita24efua@yahoo.com sizifahamu. .Hiyo mail box yangu mimi ipo gmail.
Je mtumaji ana nia gani?Amefahamu vipi email address yangu?Na je,inawezekanaje email itumwe kwa mwingine(yaani wanita22efua@yahoo.com na wanita24efua@yahoo.com) halafu mimi niliyeko gmail niipate ilhali anwani yangu hiyo haipo kwenye list ya watumiwa?Ni BCc gani hiyo?