Wanawake waliolelewa na kuupata upendo wa baba huwa ndoa zao wanajaribu kuzi maintain sanaUzi mzuri, wababa wote waliolea watoto wao wa kike kama baba yangu pokeeni maua yenu 💐
Lessons:
1. Uthubutu - aliniruhusu kujaribu vitu na kuexplore hata nikiwa mdogo bila kunitilia mashaka, kila wazo nililokuja nalo, aliunga mkono na kuniambia nijaribu bila kunibeza wala kunikatisha tamaa.
2. Kujitegemea - nakumbuka aliniambia "mtu yoyote atakayekulisha ana uwezo wa kukushindisha njaa " alitujenga kuthamini elimu na kuhakikisha tunapata kazi za kutuwezesha kujitegemea hata kabla ya kuingia kwenye familia.
3. Kujiamini - alikua very opinionated na anaongea sana, ukimkuta mahali pa public ni kawaida kukuta watu wote wamemzunguka wanamsikiliza, jioni wazee wa kitaa kuja home kupiga story ilikua normal na alikua mbishi sana 😂. Alituchallenge mawazo yetu kwa hoja, kutufundisha kuzungumza kwa kujiamini na kusimamia ideologies zetu hata kama zinatofautiana na wengine.
4. Upendo na usawa - hakukuwa na mtoto wa kike wala wa kiume, wote tulijengwa kwa misingi ile ile na fairness, tunapewa mahitaji, pocket money na kila kitu sawa na ukifanya vizuri unakua rewarded based on success siyo umri wala jinsia. Nakumbuka kufaulu darasa la 6 primary na kununuliwa baiskeli while kaka zangu hawakupewa zawadi (watoto wote waliokua na baiskeli mtaani kwetu walikua wa kiume, ilinifanya nivimbe sanaaa 😅)
Yapo mengi mno, ila hakuna mtu wa kuniyumbisha misimamo sababu baba yangu alinijenga haswa, ile misingi niliyolelewa nayo hakuna anayeweza kuitoa ndani yangu.
😂😂😂😂😂 usinichekesheee, siri zangu uwe nazo wee??Coca nimi nina siri zako nyingi sana, ningeamua kusema majukwaa yote humu yangetingishika😁😁
Baba bora kabisaa huyu, ni km wangu pia.Uzi mzuri, wababa wote waliolea watoto wao wa kike kama baba yangu pokeeni maua yenu 💐
Lessons:
1. Uthubutu - aliniruhusu kujaribu vitu na kuexplore hata nikiwa mdogo bila kunitilia mashaka, kila wazo nililokuja nalo, aliunga mkono na kuniambia nijaribu bila kunibeza wala kunikatisha tamaa.
2. Kujitegemea - nakumbuka aliniambia "mtu yoyote atakayekulisha ana uwezo wa kukushindisha njaa " alitujenga kuthamini elimu na kuhakikisha tunapata kazi za kutuwezesha kujitegemea hata kabla ya kuingia kwenye familia.
3. Kujiamini - alikua very opinionated na anaongea sana, ukimkuta mahali pa public ni kawaida kukuta watu wote wamemzunguka wanamsikiliza, jioni wazee wa kitaa kuja home kupiga story ilikua normal na alikua mbishi sana 😂. Alituchallenge mawazo yetu kwa hoja, kutufundisha kuzungumza kwa kujiamini na kusimamia ideologies zetu hata kama zinatofautiana na wengine.
4. Upendo na usawa - hakukuwa na mtoto wa kike wala wa kiume, wote tulijengwa kwa misingi ile ile na fairness, tunapewa mahitaji, pocket money na kila kitu sawa na ukifanya vizuri unakua rewarded based on success siyo umri wala jinsia. Nakumbuka kufaulu darasa la 6 primary na kununuliwa baiskeli while kaka zangu hawakupewa zawadi (watoto wote waliokua na baiskeli mtaani kwetu walikua wa kiume, ilinifanya nivimbe sanaaa 😅)
5. Standard za a healthy relationship - Alituonyesha thamani ya ndoa na mke kupitia mama yetu. Labda ilikua somo zaidi kwa kaka zangu, ila alimuheshimu na kumpenda sana mama yetu. Huwa wanasema, wanawake wanatafuta wanaume wa kuwaoa ambao wanafanana na baba zao, kwangu hili ni kweli kabisa 💯.
Yapo mengi mno, ila hakuna mtu wa kuniyumbisha misimamo sababu baba yangu alinijenga haswa, ile misingi niliyolelewa nayo hakuna anayeweza kuitoa ndani yangu.
Hongera sana ulikuwa na the best Papa 👨Uzi mzuri, wababa wote waliolea watoto wao wa kike kama baba yangu pokeeni maua yenu 💐

Story zako za huko chimbo kwako zote tunazo😁😁😂😂😂😂😂 usinichekesheee, siri zangu uwe nazo wee??
Humu JF hakuna mwenye siri zangu, hata wale wa karibu yangu humu hawana.
Hizo ulizonazo ni fekerooo, 😂😂😂😂😂
Kila Mzazi unatamani mwanao awe zaidi yako kwa elimu, uchumi, hata urefuKuna Moment wazee walikuwa wanatamani tuwe bora zaidi yao
Mzee wangu alikuwa makini tu na mambo ya shule basi, ilivyoisha ndio basiUmetisha sana Mkuu
😂😂😂😂😂😂 hapo unapotea kabisaa.Story zako za huko chimbo kwako zote tunazo😁😁
Muongo hauna file wala folder, mikwara tu😅😂😂😂😂😂😂 hapo unapotea kabisaa.
Hakuna anayejua kuhusu chimbo humu.
Ila mie nina mastory ya watu humu km wotee, 😂😂😂😂😂
Tena mengine wanayaleta wenyewe wahusikaaa,
Siku nikikaa vibaya, nashusha mdo mdo, 😂😂😂😂
Tena mods waondoe ban kabisaa, ha-ha 😂😂😂😂😂
Can u imagine, nina PM toka ya kwanza wakati najoin JF hadi leo hii ipo, huwa nazisomaa, nawatazama wajaa, 😂😂😂😂 naishia kuwastahiii.
JF ni poriii, sio kichaka tenaa. Lol
😂😂😂😂 cantry, najua huwezi amini, ila mie ndo nakuambia hivyo.Muongo hauna file wala folder, mikwara tu😅