good....coz at leaste u have sniffed something fishy...hahaha uyo dogo apo juu, mnaelekea wapi? Uliona kweli wanaume wawili 'wenye mawazo' ya mwanamke huyo huyo wakakaa meza moja wakaelewana?
Kumbuka ninasoma kati kati ya mistari
sasa,mimi niko kwen late 30s and I think ninaqualify kwenye 'older men'....mmh?
Kuna kitu hapo tena kikubwa ngoja nisimwage mchele kwenye kuku wengi lol
mababu ni wazuri sana kwenye suala la CARING.but wanaweakness zao.so lazima kuwavumilia!
Hahaha!! Zidumu fikra za Mwenyekiti, kwenye Chama Mwenyekiti haruhusiwi kupingwa lol
LOL...LOL...Kaizer wewe kazi yako juu yangu ni kunipiga majungu tu.... Huyo TF anataka nimpe mwanangu, but she is young kwa hiyo hata rafiki au mdogo ni poa... kama uko late 30s - YES you do qualify kwenye older men...ha ha ha
haya rudi kagonge senks kisha urudi shule haraka sana.....
Subiri binti wa asha d akue sawa? Ni marufuku kudeal na watoto kwen chama chetu umesahau?:israel:
Sijui kwa nini nimeona apo tu? Dogo nimeshamwambia cha KUFANYA.....LOL
Kaizer mimi bana nikae kimya nisije nikaambiwa nivue magambaUmefanya vizuri, mana Kaizer yuko tayari kwa kunipa vijembe....LOL
Hahahahahahaya rudi kagonge senks kisha urudi shule haraka sana.....
subiri binti wa Asha D akue sawa? ni marufuku kudeal na watoto kwen chama chetu umesahau?:israel:
Sina cha kuongezaSijui kwa nini nimeona apo tu? Dogo nimeshamwambia cha KUFANYA.....LOL
LOL.... Mimi naomba uone the whole statement...
i just saw the trees and not the forest.....lol
Me I'm just watching lolNow Kaizer what is a forest without the trees..lol
Now Kaizer what is a forest without the trees..lol
Me I'm just watching lol
exactly, i kind of liked the trees more than the forest, and indeed u cant hav a forest without trees,,:A S-baby:
Mmmmmh..... kind of.....
Dah!!! Asha D Kaizer kanitoa kwenye reli ila ndio hivyo mkubwa mkubwa tu nitafanyaje mie loldogo unawatch nini hapa ni kwa late 30s...haya sepa niache na bi mkubwa,,,:ranger:
kind of...and thats a fact...now as grown ups, lets do the needful...
Dah!!! Asha D Kaizer kanitoa kwenye reli ila ndio hivyo mkubwa mkubwa tu nitafanyaje mie lol
Dah!!! Asha D Kaizer kanitoa kwenye reli ila ndio hivyo mkubwa mkubwa tu nitafanyaje mie lol