what are priorities of our leaders? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

what are priorities of our leaders?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Geza Ulole, Jul 7, 2011.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,050
  Likes Received: 3,958
  Trophy Points: 280
  I keep wondering what our leaders consider of more importance as far as their duties are concerned! ask me why? of recent our PM (Mtoto wa Mkulima) discharged his daily activities and left Bunge sessions to attend launching of a construction of a new Petrobras's oil and gas exploration ship (to be deployed in the Tanzania's Southern deep sea) in South Korea! Can you imagine, a leader of your government considers attending a private function more important than matters touching every aspect of a Tanzanian? what's there between that exploration company and our leaders? is there anything to tread cautiously here? What is the job of our ambassadors? You reflect that!
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  laungage may cause few people to contribute this thread
   
 3. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kipaumbele cha kwanza cha wakulu wetu...ni kujirusha tena katika viwanja vilivyoenda shule. Ndo maana wakiambiwa kuna trip ya kupanda pipa wanapagawa kama paka kaona maziwa yenye viungo vya pwani..mdarasini na pili pili manga!!

  Na cha pili ni totoz...

  Kama nimekosea ....naomba msamaha in advance!!
   
 4. n

  nmiku Member

  #4
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tatizo la viongozi wetu ni kulewa madaraka. Wao wanafikiria wako juu ya chochote kwa hiyo hakuna wa kuwasemea! Bungeni kwa sababu wameout number wapinzani watafanya lolote. Ndiyo maana safari kama hizo zinafanyika kwa hela za walalahoi bila soni! Kuna mchungaji mmoja alikuwa anawaambia wajifunze yanayotokea nchi za Kiarabu na wajisahihishe kabla ya MWAKA huu kwisha vinginevyo kiama chaja. Who knows, he might be right!
   
 5. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Their priority ni kula hadi wavimbiwe kama M K W E R E alivyovimbiwa. I think they should build more jails, 'cause sooner rather than later they will end up there, whether they like it or not.
   
 6. s

  seniorita JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kipaumbele cha viongozi wetu ni mashali yao....point blank na sidhani kuna mtu hajui hilo. Kama kipaumbele ingekuwa wananchi, basi ange-delegate mtu chini yake ku-attend tha said function but hakufanya hivyo na hawafanyi hivyo-no delegation of powers maana hizo functions wanajua wao----kitu kikubwa kimo humo kwa viongozi
   
 7. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,197
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  Hapa ni siasa zinachezwa kwa gharama ya kodi zetu. Mtakumbuka siku zile za kikao cha bunge alipojiuzulu Lowasa, Spika alikuwa tayari keshapata trip ya nje ili kukwepa kile kikombe kilichokuwa mbele yake. Jk alifanya jitihada za kumzuia asisafiri ili akabiliane na Lowasa. Na sasa hivi baada ya Lowasa kuunguruma bungeni na kushangiliwa na zaidi ya three qouter ya bunge, jambo hilo limemshitua Jk. Ndio maana amemtafutia safari haraka Pinda na kumkaimisha Sitta kile cheo ili amkumbushe EL kuwa kisu kilichomchinja bado kinashikiliwa na Jk. Kwa habari ya gharama kipesa, hiyo haimhofishi Jk, maana anatambua fika kuwa waTz hawajafikia uwezo wa kuhoji maamuzi ya mkuu wa nchi
  .
   
Loading...