What a Sad Story

What a Sad Story

bombu

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
1,127
Reaction score
544
Jamani nimefungua wall yangu ya fb na kukutana na hii issue, kiukweli nimeshtuka, sikitika na kushikwa na wasiwasi, Hebu soma uone jinsi huyu mtu alvyofanya unyama huu.

"Friends, jana nimehudumia mtoto mchanga ameambukizwa HIV na Housegirl, Baba& Mama wako Negative na ni vijana sana. Nadhani ni lazima kujua Sero status za house girls coz nimejiweka nafasi ya wale wazazi na it's so painful.This girl alikuwa anamchanja mtoto makusudi miguuni then anamnyunyizia damu yake. Na alipoulizwa kwa nini? She said," mnisamehe jamani". Ok wazazi wamemsamehe na wame accept the reality!"

Source. fb

yaani huwezi kuamini FL, ni unyama uliopitiliza, najiuliza na hali hii ngumu ya utafutaji wamama tunawalindaje watoto wetu?

Maisha yamekua so complicated sasa hasa inapohusisha watoto wetu..
mtihani saana... Roho imeniuma saaana kuhusu huyo malaika... Huyo
binti nae house gal nafikiri yuko so frustrated na ugonjwa mpaka
kufanya roho mbaya hivo.... Dah! Pole zao wazazi jamani...

Huuh! Ni wakati wa watu kuburuzwa mahakamani ili liwe funzo kwa wengine.

Utampima Ukimwi anapoanza kazi baada ya hapo utampima kila baada ya mwezi?

Jamani ...
pole yake huyo mtoto..na wazazi pia..

Kama huyo house girl
Amekiri kosa hopefully
Atafikishwa mbele za sheria ..

Jamani nimefungua wall yangu ya fb na kukutana na hii issue, kiukweli nimeshtuka, sikitika na kushikwa na wasiwasi, Hebu soma uone jinsi huyu mtu alvyofanya unyama huu.

"Friends, jana nimehudumia mtoto mchanga ameambukizwa HIV na Housegirl, Baba& Mama wako Negative na ni vijana sana. Nadhani ni lazima kujua Sero status za house girls coz nimejiweka nafasi ya wale wazazi na it's so painful.This girl alikuwa anamchanja mtoto makusudi miguuni then anamnyunyizia damu yake. Na alipoulizwa kwa nini? She said," mnisamehe jamani". Ok wazazi wamemsamehe na wame accept the reality!"

Source. fb

OMG! some people are heartless,why should she do that to baby

Jamani nimefungua wall yangu ya fb na kukutana na hii issue, kiukweli nimeshtuka, sikitika na kushikwa na wasiwasi, Hebu soma uone jinsi huyu mtu alvyofanya unyama huu.

"Friends, jana nimehudumia mtoto mchanga ameambukizwa HIV na Housegirl, Baba& Mama wako Negative na ni vijana sana. Nadhani ni lazima kujua Sero status za house girls coz nimejiweka nafasi ya wale wazazi na it's so painful.This girl alikuwa anamchanja mtoto makusudi miguuni then anamnyunyizia damu yake. Na alipoulizwa kwa nini? She said," mnisamehe jamani". Ok wazazi wamemsamehe na wame accept the reality!"

Source. fb

ishara ya nyakati za Mwisho. I have a friend. she was moving with a certain tycoon.

The tycoon was positive and she never new, Huyu tycoon alikua ana atend Clinic and many people knew it.

Kama mjuavyo siku hizo habari zinavuja sana, kama hajazivujisha Nurse anaye kuhudumia clinic atavujisha member mwenzako wa Clinic.

So hawa wagonjwa wanajulikana tu mitaani.

Mimi bila hiana nilimface my friend nikampa ukweli nikamwambia she should take care!! Believe you me, She told me just the other night alimlazimisha waende pure leather!!!

I advised her to attend VCT. alienda kupima na alijikuta yuko safi, she is waiting for the three months. Sijui kama ataponea coz alipima just Hours after they had Sex.

Amemfuata yule tycoon nakumuuliza nikwanini alimfanyia hivyo ilihali ni mgonjwa yule tycoon alikaa kimya kama kamwagiwa maji. mwishowe akamwambia eti watu wanampakazia kwasababu hawampendi!! what a shit answer.

Akamwambia basi kama ni uongo waongozane wote ANGAZA. Libaba likakataa katakata!!!!

Its a tendency of some sick Imbeciles not wanting to go alone!! They just to make sure that everybody near them is also HIV positive.

grrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.

Na sheria za ajira nazo zinasemaje?

haya mambo ya HG haya mie hua yananichosha sana, na mimi nilianzisha Thread kuonyesha jinsi HG alivyokuwa akikafakamia katoto kangu, yaani full starehe. Ntaua mtu mi sitasamehe hata punje.

Ila kiukweli sasa ndo nauona umuhimu wa mama kubaki kuwa mama wa nyumbani, ili awalee watoto jamani. We never know ni vitu vingapi wanafanyiwa hawa malaika.

Nini hichi tena jamani .......nimehisi machozi kunitoka.

Huuh! Ni wakati wa watu kuburuzwa mahakamani ili liwe funzo kwa wengine.

Utampima Ukimwi anapoanza kazi baada ya hapo utampima kila baada ya mwezi?

Wewe uko tayari kupimwa kwa nguvu ati kisa kazi? Kwa kuwa hapana sheria ya kulazimisha upimaji hiv kwa nguvu basi na mahouse girl hawatakiwi kuwa subjected to involuntary testing.

By the way alichofanya huyo mdada si ubinadamu ni kwamba malipo yake Mwenyezi Mungu anajua. Na hii inaweza fanywa na yeyote yule, mfano partner anayefahamu status yake na kwa makusudi anasex na mwenzake aliye negative purposefully kumwambukiza, ama wale ma-nurse na medical personnel wanaowainject wagonjwa/maadui zao damu zenye maambukizi (kuna visa hivyo)

Jamani mimi kama Baba kwa miaka hii huwezi kumwamini house girl au house boy! Tukitaka kuzaa ni afadhali ndugu wa karibu wakamleaa mtoto na si mtu baki.

nadhani ni clear case ya mauaji ya kukusudia. ipo ile sheria dhidi ya kuambukiza ukimwi kwa makusudi. ni kesi inayopaswa kufikishwa polisi ili huyo dada achukuliwe hatua. vinginevyo ataondoka hapo nyumbani, ataenda kufanya kazi kwingine na kuendeleza maambukizi yake ya kiuaji. ni hatari sana kwa kweli.

Mungu wangu!! imenikumbusha msichana wa kazi mmoja aliyekuwa anapiga mswaki mmoja na watoto watatu aliokuwa anawalea,kumbe ana ukimwi!! atlast watoto wote watatu wakaambukizwa ukimwi, ilikuwa kilio na kusaga meno kwa wazazi, very very sad news. Hebu wampeleke kwenye maombi huyo mtoto naamini Mungu atamrehemu na kumponya

Nini hichi tena jamani .......nimehisi machozi kunitoka.

yaani we acha tu dugu yangu, mie nilipoisoma tu nimekifikiria kitoto changu ch mwaka mmoja, hapa nilipo nina ganzi moyoni mwangu. Ingawa huyo hg nilyenaye nimmfahamu tangu utoto lakini kiukweli am shocked hata kazi naona haifanyiki tena.

Acha tu hii dunia ina mitihani mingi sana.............nafikiri siku ya kupumzika na maisha yanakuwa yamekwisha.

yaani we acha tu dugu yangu, mie nilipoisoma tu nimekifikiria kitoto changu ch mwaka mmoja, hapa nilipo nina ganzi moyoni mwangu. Ingawa huyo hg nilyenaye nimmfahamu tangu utoto lakini kiukweli am shocked hata kazi naona haifanyiki tena.

Housegirl huyo wamuulize vizuri. Kwa mtu wa kawaida - siyo kichaa au mchawi mara nyingi hawezi kufanya hivyo. Atakuwa alibakwa na baba fulani alipokuwa akifanya kazi mahali fulani kabla ya hapo, akaambukizwa. Ana hasira na maisha, ana hasira na waajiri, ana hasira hasira hasira na kazipeleka kwa mtoto.

Nawapa pole wazazi. Ila pia wazazi wa siku hizi tumezidi - kuondoka alfajiri kurudi usiku. Inakuwaje baba au mama usione mtoto ana kidonda cha kuchanjwa kila siku? Manake kulingana na mtoa mada hakufanya mara moja!

Kila mzazi ahakikishe halali kabla hajaongea na watoto, siyo tu kuongea bali kuwahoji na kuwasikiliza. Watoto huwa wanasema yoooote wakipewa nafasi. Kama huamini jaribu. Kuna physical na psychological abuse wanapata watoto kutoka kwa caregivers. Tena aliyesema utafute ndugu ndiyo kabisa wanastarehe wanaacha mtoto na diaper ya mavi mpaka yakauke matakoni, na ugali wako wanakula!

Jamani kama umezaa watoto wajibika. Lea wanao na hakuna wa kukusaidia.
Kwa mara nyingine, poleni sana wahusika.

Similar Discussions

Back
Top Bottom