What a Powerful Picture

Na huo mstari aliosimama mzee wa southern killers, kuanzia yeye hadi mtu wa tano nyuma kuna waziri mkuu hapo yaani kasim, ridhiwan, kakurwa, simbachawene.
 
Huwa wanaenda kwa pesa zao binafsi au pesa za nchi za walipa kodi??
 
Unamuona mzee huyo ana mapenzi na chama sana kuliko wenye chama chao yani watu wapo msibani wewe unavaa chama ndo mnasema wazee wa zamani walikua na busara sana ndo kama hivi
 
Yaani inasikitisha sana vidume vyote hivyo vya Tanganyika vimeamua kuwa kondoo wanaosubiri machinjo?

So sad
 
Hapo kuna chaguo la Msoga?vinginevyo wote msafara kenge
No, hapo kuna kete moja ya msoga, na kete nyingine mbili ambazo ni casualities of war.

Hio kete moja ya msoga ipo ili kuhakikisha queen fulani asienende direction zote anazozitaka, ila siku hio kete nayo ikimaliza kazi yake au kazi yake ikawa irrelevant basi nayo itakua casuality kama hizo kete nyingine mbili zilizostaafishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…