What a nice day

Kuna jamaa ameni-PM ilivunjwa kutokana na kuwa chini ya nyanya za umeme mkubwa. Palikuwa na kitimoto safi sana pale. Ile baa kubwa ya Green Park karibu na kanisa la kilutheri bado inatoa huduma?

Njoo ujionee mbona maswali mingi kwani we ni police
 
Njoo ujionee mbona maswali mingi kwani we ni police
Unajua miaka ya 2000 niliwahi kupata mrembo maeneo ya segerea, mtaa nyuma ya gereza na huko ndiko kulikuwa maeneo ya kujidai. Umenikumbusha mbali sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…