WHAT A MISMATCH! It's TUNDU LISSU vs. WILLIAM LUKUVI Bungeni

WHAT A MISMATCH! It's TUNDU LISSU vs. WILLIAM LUKUVI Bungeni

Mimi nafikiri nafasi ya Lukuvi angewekwa Mwakyembe, sasa huyu Lukuvi na hasira zake alizonazo Bungeni kutatosha kweli? Bunge lenyewe la siku mbili hili hapakutosha watu hadi wametoka nje je CHADEMA wakipata siku nyingi zaidi itakuwaje? Nafasi ya Lukuvi JK siyo.
 
Ngoja tuone kama mechanisim ya Lukuvi itaweza kuwabana wapinzani
 
yaani nimeenda kwenye website ya bunge nimecheka ..Lukuvi kaandika mpaka kozi ya kompyuta aliyosoma UDSM yaani kaweka kwenye CV...BA yake ni ya Washington International University yaani kama ile ya Mrema..Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Chadema na hayo ma-TUNDU yenu kazi ipo,miaka mitano sio mingi.....
 
Vikumbo vitakavyokuwa huko Bungeni sijui tusuiri hiyo Januari tuone
 
Vikumbo vitakavyokuwa huko Bungeni sijui tusuiri hiyo Januari tuone


yaani mkuu we acha tu ...itakuwa balaaaa..maana ninachojua CCM na serikali yake bado watakuwa na ile nightmare ya wabunge wa CHADEMA kum snub JK...hahaaa yetu macho unaweza kushangaa watu wanapandwa na jazba mpaka wanapigana mitama bungeni
 
Kwa mujibu wa baraza jipya la mawaziri, walioongezeka kutoka 47 mpaka 50, kuna makosa mengi ya kiufundi ambayo Kikwete ameyafanya.

Hii ikiwemo kutoa wizara nyeti sana kwa uchumi na maendeleo ya nchi kwa mawaziri waliokuwa na uwezo mdogo wa kazi. Hawa ni -- Mustafa Mkulo (fedha), William Ngeleja (Nishati na Madini) na Ezekiel Maige (Maliasili na Utalii).

Lakini kubwa kuliko zote ni kwa Kikwete kumteua William Lukuvi kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshuhulikia Sera, Uratibu na Bunge.

Kwa maana nyingine, Lukuvi ndiyo atakuwa CHIEF WHIP wa serikali Bungeni mwenye kazi kubwa kuwaweka sawa wabunge wa CCM waiunge mkono serikali na ku-counter makombora na strategy za kambi ya upinzani.

CHIEF WHIP wa kambi ya upinzani ni the magnificent TUNDU LISSU.

Hii ina maana kuwa Bungeni itakuwa ni Tundi Lissu vs. William Lukuvi. What a mismatch!

Kweli Kikwete na CCM ni mabingwa wa kujifunga own goals...

Great Thinker Fareed
ni Muda Mrefu tulikuwa tunamiss hoja zenye mshiko zisizo na udini wa ukabila, katika chache za mwezi huu na hii imo,
Nikija kwenye Point, Ki upeo wa kupambanua mambo na Hoja Lissu yupo mbali sana, Lukuvi ni mweupe mno kwa Lissu, Lukuvi mara nyingi anaweza kuwa na point nzuri lakini anaweza kuiwakilisha bila kuwa na Nyama ,just skeleton, ninavyoliona Bunge la mwaka huu kwa upande wa CCm ni watu wa Ndio tu, Na Lukuvi amewekwa hapo kama mastermind wa kuwa drive wabunge wa CCM akipokea maagizo ya Makamba, RA, EL na JK
 
Mkuu

Ile position sio kama inavyotakiwa iwe... pale amewekwa masimenti na kazi yake ni mechanical... lukuvi is "that man"... he is right for the position

kumbuka pia kwamba level ya sophistication kenye bunge letu si kihivyo
kula 5!bunge letu si la kihivyo.jipeni moyo
 
Lukuvi awe anafaa au hafai tunawatakia CHADEMA yale yote yaliyo mema. Adui mwombee njaa. Nakumbuka usemi wa CHADEMA kuwa CCM hata ukimweka Malaika shida zitaendelea tu. Hawe Tibaijuka, Mwakyembe, Lukuvi au Sita inabaki pale pale kuwa ni CCM. Tunategemea kwa mara ya kwanza kuona Bunge likiongozwa na Mawaziri vivuli toka CHADEMA. Pale ambapo John Shibuda atakapokua anamfunika Shamsi Vuaai, au Anna Komu anampoteza outspoken Lady Sofia Simba, na vipi wizara yako inampata waziri kivuri inteligent boy John Mnyika, Celina Kombani VS Mustapha Akunay, Ngereja VS Zito Kabwe, Maige vs Lema, Nchimbi VS Sugu, Mkuchika vs Vicent Nyerere, Nagu vs Rose Kamili, Kawambwa vs Prof. Kaigi; Kabaka vs Mdee; Mkulo VS Ndesapesa. Naishia hapa maana natafuta wakumkaba Magufuli na Mwakyembe lakini najua dogo aliyetema ung'eng'e juzi wabunge wote wa CCM wakaduaa kiboko ya Masha, Mh. Wenje anaweza
 
Is Lissu really all that he is cracked up to be? Really?

Probably not, but the issue underlined here is the complete lack of legal background on the part of Lukuvi, jamaa si kulikuwa na madai kwamba ni darasa la saba?

Now I will be the first to say academic credentials are nothing if not backed by the actual work, lakini tushaona angalau Tundu Lissu kaanza kuwachachafya kwa vitu ambao wengine wataona ni vidogo, katika upigaji kura za kumthibitisha Pinda. Kama akimuwekea moto ule ule tutaona Lukuvi anamuangalia Sitta kwa msaada kama alivyofanya Makinda.

Phillip Marmo was a legal expert with some credentials few people have in Tanzania, he was a creature of that august house. I cannot say the same for Lukuvi.
 
Back
Top Bottom