What a Kind of Country is this?

What a Kind of Country is this?

Huntsman

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
648
Reaction score
619
Leo katika taarifa ya habari ITV inayoendelea sasa JK ambaye ni Rais wetu amesema "nchi inayotegemea mikopo na misaada haiwezi kuwa na maendeleo" kwan siku misaada ikisitishwa au mkishindwa kulipa madeni itakuwa tabu kwenu.

Jamani hivi hii nchi inangozwaje? Kwann huyu president haishi kwenda kutembeza bakuli nje ilihali anajua ukweli mchungu?

Nawasilisha.
 
Muda wa kuomba ndio unaishia hakuna alichopata kwa manufaa ya nchi zaidi ya posho za kwake na watu wake!
 
Siku moja akatokea kiongozi wa Taifa letu, akatuambia huko nje kuna hela nyingi kuliko hapa nyumbani, mwambieni wewe ni mpumbavu kabisa"
Mwalimu J.K. Nyerere.

"Inashangaza kuona kwamba hata Bajeti yetu ya kawaida ya mwaka, inategemea ongezo la fedha kutoka kwa wafadhili.Tujibane tupange Bajeti kutokana na Mapato yetu. Tabia hii ya kutegemea Wafadhili tutauza UHURU wetu"
Alhaj Ali Hassan Mwinyi.

"Kama kuna mtu ambaye anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kusaidiwa, anajidanganya, Narudiia tena, Katika nchi hii kama kuna kiongozi anaamini nchi inaweza kuendelea kwa kupewa misaada, anajidanganya"
Benjamin Mkapa.

"Unapoenda kuomba siyo kwamba wewe unapenda tu kuomba. Huko nje kuna mataifa yenye hela nyingi tu, unachotakiwa ni kujieleza, wakikuelewa, watakupa"
Jakaya Kikwete.
 
Ni hasara kubwa kwa taifa hili kuwa na Rais anayejipinga mwenyewe. Shame on us
 
Sijui kauli ya Huyo ajaye itakuwaje.
 
Hahahahahahahahah! mbavu zangu mweeh!!!!
 
Ni hasara kubwa kwa taifa hili kuwa na Rais anayejipinga mwenyewe. Shame on us

Ni miaka kumi iliyopotea kwa kweli. Anasema TRA sasa wanakusanya billion 700 kwa mwezi. Kama hayo ndio makusanyo kwa mwezi hivi tunahitaji misaada ya nchi za ulaya?

Tukipunguza matumizi ya serikali
- baraza kubwa la mawaziri lisilo na tija
- safari zake nyingi nje ya nchi
- magari mengi ya serikali (Kagame alifika mahali akayauza na kuna watanzania walienda kununua) na mafuta yake
- wizi wa waziwazi kwenye halmshauri za miji unaoshirikisha viongozi wakuu wa serikali

Ondoa misamaha ya kodi yenye harufu ya rushwa tupu.
 
Siku moja akatokea kiongozi wa Taifa letu, akatuambia huko nje kuna hela nyingi kuliko hapa nyumbani, mwambieni wewe ni mpumbavu kabisa"
Mwalimu J.K. Nyerere.

"Inashangaza kuona kwamba hata Bajeti yetu ya kawaida ya mwaka, inategemea ongezo la fedha kutoka kwa wafadhili.Tujibane tupange Bajeti kutokana na Mapato yetu. Tabia hii ya kutegemea Wafadhili tutauza UHURU wetu"
Alhaj Ali Hassan Mwinyi.

"Kama kuna mtu ambaye anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kusaidiwa, anajidanganya, Narudiia tena, Katika nchi hii kama kuna kiongozi anaamini nchi inaweza kuendelea kwa kupewa misaada, anajidanganya"
Benjamin Mkapa.

"Unapoenda kuomba siyo kwamba wewe unapenda tu kuomba. Huko nje kuna mataifa yenye hela nyingi tu, unachotakiwa ni kujieleza, wakikuelewa, watakupa"
Jakaya Kikwete.

Hahahahahahahaaaaa! Kali hii!
 
Huo ndio upeo wa rais wenu. Kazi ipo.
 
Leo katika taarifa ya habari ITV inayoendelea sasa JK ambaye ni Rais wetu amesema "nchi inayotegemea mikopo na misaada haiwezi kuwa na maendeleo" kwan siku misaada ikisitishwa au mkishindwa kulipa madeni itakuwa tabu kwenu.

Jamani hivi hii nchi inangozwaje? Kwann huyu president haishi kwenda kutembeza bakuli nje ilihali anajua ukweli mchungu?

Nawasilisha.
dont take him serious... alishasifia wakoloni kwa kututawala
 
Jeshi letu (TPDF) ni jeshi lenye nidhamu ya hali ya juu sana kwa sababu mambo yanayoendelea nchini kwetu yangekuwa yanafanywa kwenye nchi za wenzetu let say kama West Africa Countries hakika jeshi lingeshapindua serikali hii iliyopoteza uhalali wa kuendelea kuongoza watu wastaarabu kama sisi.
 
Mfalme Juha by Shaaban Robert,, fasihi inaona mbali sana aisee
 
Siku moja akatokea kiongozi wa Taifa letu, akatuambia huko nje kuna hela nyingi kuliko hapa nyumbani, mwambieni wewe ni mpumbavu kabisa"
Mwalimu J.K. Nyerere.

"Inashangaza kuona kwamba hata Bajeti yetu ya kawaida ya mwaka, inategemea ongezo la fedha kutoka kwa wafadhili.Tujibane tupange Bajeti kutokana na Mapato yetu. Tabia hii ya kutegemea Wafadhili tutauza UHURU wetu"
Alhaj Ali Hassan Mwinyi.

"Kama kuna mtu ambaye anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kusaidiwa, anajidanganya, Narudiia tena, Katika nchi hii kama kuna kiongozi anaamini nchi inaweza kuendelea kwa kupewa misaada, anajidanganya"
Benjamin Mkapa.

"Unapoenda kuomba siyo kwamba wewe unapenda tu kuomba. Huko nje kuna mataifa yenye hela nyingi tu, unachotakiwa ni kujieleza, wakikuelewa, watakupa"
Jakaya Kikwete.

yaani hizi quotes ukizisoma zina ujumbe mzito
 
Sisi ni mafalah na maamuma iliyokubuhu ndio maana jk anatudharau nakutoa kauli karma hizi. Tukiendelea na hali hii kauli kama hiz zitatamkwa na magamba miaka nenda rudi.
 
Ukisoma somo liitwalo "public sector a/c" ndo utajua tz we'r dependent.
 
Back
Top Bottom