What a coincidence!!

What a coincidence!!

Uduvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
738
Reaction score
521
Jana maeneo Fulani nikiwa napaya castle yangu baridiiii nikatongoza bar maid Fulani hivi nikapiga vyombo vyangu hadi saa NNE lakini ahadi yetu ilikuwa ni kukutana saa sita usiku wakati washafunga biashara yako.basi baati mbaya saa sita sikuyokea eneo la tukio Leo nimetokea naambiwa alichukuliwa na MTU mwingine na akapata ajali right now anelazwa hospital baada ya kuvunjika mguu wa kuume.wat a coincidence??
 
Yani unaelezea ukiwa excited kabisaaa..kweli 'what a coincidence!'
 
Back
Top Bottom