Mimi sio mtaalam wa sheria za bongo
Kwa kweli Polisi sio kazi yao hiyo
Ni sawa Polisi kukwambia ulete vielelezo kuwa hiyo ni simu feki
Tumezoa kwenda polisi na kusema yule mwizi na kutegemea polisi wakurupuke tu wakamkamate, labda kwa kuhonga sawa
Utakuta walishakamata wengi lakini wakakosa ushahidi mahakamani, na kesi nyingi kupigwa chinina hayo maswali ndio waliulizwa lete ushahidi wa TBS
Aisee na nilivyo na machozi ya karibu msishangae nikipiga ukunga hadharaniπ’π’ na pesa ilivyo ngumu hivi uniuzie na simu fake aiseeImagine mtu anasafiri na boat anaenda Zenji jioni unampeleka ananunua simu anakuja kugundua fake Yuko Kwa boat..
wanaopenda kitonga lazima wapigwe halafu k/koo kuna maduka mengi tu makubwa au ingia china plaza mtu anaacha anataka slope
katika moja ya mashirika ambayo wananchi hawayafurahii ni police,utendaji wao umekua ukilalamikiwa miaka nenda rudi,serikali nadhani haijui ku deal na hilo shirika,no clue on what skills set,competencies required for its employees...
Hivyo ndio nimesema tumezoea tu kwenda polisi na mashtaka ya kipuuzi kama haya ndio maana hawajishughulishi mpaka ulete vielelezoWewe ndo wale wasiojielewa..
Kazi ya polisi ni kuzuia uhalifu wa aina zote
Unaelewa maana ya organised crime?
Unaelewa maana ya financial crimes
Polisi hata brokers wa stock exchange wakivunja sheria wanatakiwa kuwachunguza
Na kuwakamata na kuwapeleka mahakamani..
Kama kitu hujui nyamaza
Wewe mjanja sana ndio unashindwa kutofautisha simu mpya na used, usipende kislope utapigwa sana Karikoo hadi akili ikukae sawaWewe ndo washamba wenyewe
China plaza kuna maduka mengi Tu yanauza used kama mpya..
Na unaweza pigwa hata humo china plaza
Kwa taarifa yako wenye maduka mengi hapo kkoo walifungua branch humo china plaza
Unajiona unajua kumbe hujui
Walikuja polisi??Au TBS??Daaaa nakumbuka mwaka juzi hp walikuja dukan kukamata toner feki kama za milion 18 hivi...tuliyumba sana,zile wino namba 2 ukimshikia mtu hata kwa laki na ishirini hawwzijua kabisa na hapo unakuta dukan tumezinunua kwa elf 20 tu.
Karibuni kkoo
Nyie Dawa yenu ni kuwaroga kama yule Hakimu wa mahakama ya wilaya Kinondoni.Hivyo ndio nimesema tumezoea tu kwenda polisi na mashataka ya kipuuzi kama haya
ndio maana hawajishugulishi mpaka ulete vielelezo
Muda umepita sana bado mna akili ya kizamani,
Kama huna ushahidi kuwa hiyo ni simu feki, unapoteza muda wa polisi
Na si kazi ya polisi kuchunguza hiyo simu kuwa ni feki
Ni mamlaka ya viwango tu ndio kazi yao
Polisi wanahusika only kwenye hela za bandia tu
Mpaka TBS wathibitishe kuwa hilo duka linauza simu feki ndio watahusika
hii ndivyo ilivyo hata Uk, US, Europe popote
Walikuja kampuni ya HP wenyewe ndio wakazitambua.. polisi hawezi kuona utofauti wa zile wino hata mnunuaji hawezi kuona tofauti yoyoteWalikuja polisi??Au TBS??
Asilimia 80 ya simu Tanzania zinauzwa kutokea kkooKarne hii bado kuna watu wananunua sim K/koo??huo ujinga wa kununua simu K/koo niliacha tangu 2010 baada ya kugundua hayo mnayoyasema.πππππ
Hivyo ndio nimesema tumezoea tu kwenda polisi na mashataka ya kipuuzi kama haya
ndio maana hawajishugulishi mpaka ulete vielelezo
Muda umepita sana bado mna akili ya kizamani,
Kama huna ushahidi kuwa hiyo ni simu feki, unapoteza muda wa polisi
Na si kazi ya polisi kuchunguza hiyo simu kuwa ni feki
Ni mamlaka ya viwango tu ndio kazi yao
Polisi wanahusika only kwenye hela za bandia tu
Mpaka TBS wathibitishe kuwa hilo duka linauza simu feki ndio watahusika
hii ndivyo ilivyo hata Uk, US, Europe popote