Wezi wavunja Maduka na kuiba Tegeta

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Hadi watu wanavunja bati na lilivo na kelele wengine wanakua wamelala.au wamejaza mavi masikioni
 
Walitaka maduka yajilinde yenyewe
 
Wezi na wenyewe walikuja kushangaa maduka yamevunjwa
 
Imamu hadi umechoka daaah
Yani acha ndo haya haya kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS alipigania dhidi ya.

Mcheki hapo Chini mwamba akitua kutoka kwa farasi wake mpendwa Zuljanah kabla ya kugawa doz akiutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…