Wezi wanarudishana nyuma sana

Ubaya ubaya!! Awaendee Kwa Babu ili iwe fundisho Kwa wenye tabia hizo, na Mali watarudisha
 
Pole sana, haya ya wizi mdogomdogo yanatokea kwa sababu kuna wezi wakubwa wametudumaza kwani kila siku wanaiba matrlioni yetu ambayo yangetuwezesha tuishi vizuri, kutokana na ujinga wetu hatujui kuwa hizo pesa wanazoiba zingeweza kutuwezesha kiuchumi kwa nchi kuwa na viwanda na makampuni ambayo yangetoa ajira kwa watu wengi.
Ni juu yetu kuamua kupambana na hawa wezi wakubwa ili wezi wadogo watoweke.
 
Mimi alimanusura niue kibaka hivi karibuni nikakumbuka usumbufu wa kuua bila kukusudia ila hatanisahau
 
Pole sana mkuu.
Kwetu tunavikundi vya ulinzi shirikishi na vinatusaidia sana na vimepunguza uhalifu kwa kiwango kikubwa sana.

Fikirien na anzisheni

Mama yupo mkoani
 
1. Kwanza nawapongeza wezi kwa ustaarabu wa hali ya juu, kutogharimu maisha ya binadamu mwenzetu.

2. Nampa pole sana mama kwa kupoteza mali. Namshauri amshukuru Allah maana vilivyopotea ni vitu si utu wala roho.
Hakika yeye atupatiae roho na uhai hashindwi kukurejeshea vitu maradufu katika ukweli na haki.

3. Nawalaani wezi kwa kudhulumu jasho la mama.
 
Duka lake liko karibu na wachaga?

Pole sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…