Naunga mkono hojaHabari wakuu!
Mwenyezi-MUNGU wa mbinguni awabariki .
Kama kichwa Cha habari kinavyosomeka ,Wezi wanakera sana . Mwizi apigwe . Mwizi afungwe . Mwizi achomwe moto . Mwizi anaweza kukuibia Kitu wakati ambao unakihitaji sana na kukwamisha mipango mingi muhimu . Kuna wezi wamenikera , wameniibia vitu muhimu wakati ambao ninavihitaji , wameniibia vifaa muhimu navyotumia kufanikisha kazi zangu pamoja na kiasi fulani cha pesa . Wezi hao nawashtakia kwa Mwenyezi-MUNGU , vitu hivyo vigeuke moto unaowaunguza . Wanapotumia vitu hivyo na kiasi cha hiyo pesa waliyoiba waungue . Mwenyezi-MUNGU awabariki wote wanaotafuta na kupata kwa jasho la halali katika kazi zao . Wezi wanavunja sana moyo .
Mwisho , Kitu anachoiba mwizi ; Mwenyezi-MUNGU akigeuze moto unaomuunguza yeye (Mwizi ) kila wakati anapokitumia kitu hicho .
Nashangaa Mwizi anaiba vitu ambavyo havina manufaa kwake. Passport, vitambulisho, vibali, certificate. Hivyo si bora umrudishie mwenyewe.Habari wakuu!
Mwenyezi-MUNGU wa mbinguni awabariki .
Kama kichwa Cha habari kinavyosomeka ,Wezi wanakera sana . Mwizi apigwe . Mwizi afungwe . Mwizi achomwe moto . Mwizi anaweza kukuibia Kitu wakati ambao unakihitaji sana na kukwamisha mipango mingi muhimu . Kuna wezi wamenikera , wameniibia vitu muhimu wakati ambao ninavihitaji , wameniibia vifaa muhimu navyotumia kufanikisha kazi zangu pamoja na kiasi fulani cha pesa . Wezi hao nawashtakia kwa Mwenyezi-MUNGU , vitu hivyo vigeuke moto unaowaunguza . Wanapotumia vitu hivyo na kiasi cha hiyo pesa waliyoiba waungue . Mwenyezi-MUNGU awabariki wote wanaotafuta na kupata kwa jasho la halali katika kazi zao . Wezi wanavunja sana moyo .
Mwisho , Kitu anachoiba mwizi ; Mwenyezi-MUNGU akigeuze moto unaomuunguza yeye (Mwizi ) kila wakati anapokitumia kitu hicho .
Mkuu potezea tu na songa mbele. Kila Mtanzania ni mwizi katika nafasi yake. Hata wewe vilevile. Chakufariji aliyekuibia naye ataibiwa tu na aliyemuibia naye atalizwa. It's a fakin cycle we have to live with.Habari wakuu!
Mwenyezi-MUNGU wa mbinguni awabariki .
Kama kichwa Cha habari kinavyosomeka ,Wezi wanakera sana . Mwizi apigwe . Mwizi afungwe . Mwizi achomwe moto . Mwizi anaweza kukuibia Kitu wakati ambao unakihitaji sana na kukwamisha mipango mingi muhimu . Kuna wezi wamenikera , wameniibia vitu muhimu wakati ambao ninavihitaji , wameniibia vifaa muhimu navyotumia kufanikisha kazi zangu pamoja na kiasi fulani cha pesa . Wezi hao nawashtakia kwa Mwenyezi-MUNGU , vitu hivyo vigeuke moto unaowaunguza . Wanapotumia vitu hivyo na kiasi cha hiyo pesa waliyoiba waungue . Mwenyezi-MUNGU awabariki wote wanaotafuta na kupata kwa jasho la halali katika kazi zao . Wezi wanavunja sana moyo .
Mwisho , Kitu anachoiba mwizi ; Mwenyezi-MUNGU akigeuze moto unaomuunguza yeye (Mwizi ) kila wakati anapokitumia kitu hicho .
Vifaa vimeibiwa katika mazingira ya nyumbani kwa kuvunja kufuli . Ingekuwa ni wewe umevunjiwa mlango , how would you feel mkuu ? By the way , nature ya kazi yangu hairuhusu upigaji .Kwani we kazini kwako haupigi mkuu?unaonaje hizo dua zikugeukie
Asante mkuuUkishindwa kusamehe lipa kisasi
Hii ya leo ni tofauti kidogo na mada zetu zile, hii inahusika na kulipa kisasi. Katika maisha bila kujali unaamini nini hakuna jambo jema kama kusamehe! Msamaha hukusaidia mengi mpaka kifo na maisha yanayofuata baada ya kifo iwe reincarnation au rebirth nk !msamaha hukufanya uwe mwema mwenye...www.jamiiforums.com
Unasema mwizi apigwe, sijui afungwe hlf same time unamshtakia Kwa munguHabari wakuu!
Mwenyezi-MUNGU wa mbinguni awabariki.
Kama kichwa Cha habari kinavyosomeka ,Wezi wanakera sana . Mwizi apigwe. Mwizi afungwe. Mwizi achomwe moto .
Mwizi anaweza kukuibia Kitu wakati ambao unakihitaji sana na kukwamisha mipango mingi muhimu.
Kuna wezi wamenikera, wameniibia vitu muhimu wakati ambao ninavihitaji , wameniibia vifaa muhimu navyotumia kufanikisha kazi zangu pamoja na kiasi fulani cha pesa.
Wezi hao nawashtakia kwa Mwenyezi-MUNGU , vitu hivyo vigeuke moto unaowaunguza .
Wanapotumia vitu hivyo na kiasi cha hiyo pesa waliyoiba waungue.
Mwenyezi-MUNGU awabariki wote wanaotafuta na kupata kwa jasho la halali katika kazi zao. Wezi wanavunja sana moyo.