Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,374
- 38,257
hao jamaa wamekuwa na timu kubwa na wengine wana kuja mpaka mikoani,juzi singida ziacha gari 4 kama skreper na gari ambazo ni hot cake kwao ni verossa,mark x,raum,alteza,progres,ist,opa,gx 110/115,brevis.na wenyewe ni wachawi sn na wanapo iba hauwezi kusikia hata kidogo
Kama ulikuwepo! yaani sikuskia hata unyayo!