Wezi wa tz ni kiboko.

Wezi wa tz ni kiboko.

Sheshejr

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2012
Posts
434
Reaction score
84
Katika harakati za kukuza teknohama worldwide, wajapan wameunda mashine ya kukamata wezi na kuipeleka nchi zifuatazo kwa majaribio: urusi, baada ya nusu saa ikakamata wezi 40, jamaica baada ya dakika 20 ikakamata wezi 100, Ghana baada ya dakika 15 ikakamata wezi 7860, China baada ya dakika 10 ikakamata wezi 2500, Tanzania baada ya dakika 5, mashine yenyewe ikawa imeibiwa.
 
salaaaale! watu wanaiba mpaka ndani ya kituo cha polisi!! hii inji kweli kuna majiniasi, Yesu na maria
 
Watakuwa waliiweka mtaa wa kongo kariakoo.
 
Katika harakati za kukuza teknohama worldwide, wajapan wameunda mashine ya kukamata wezi na kuipeleka nchi zifuatazo kwa majaribio: urusi, baada ya nusu saa ikakamata wezi 40, jamaica baada ya dakika 20 ikakamata wezi 100, Ghana baada ya dakika 15 ikakamata wezi 7860, China baada ya dakika 10 ikakamata wezi 2500, Tanzania baada ya dakika 5, mashine yenyewe ikawa imeibiwa.

ebana mkuu umenichekesha sana, ebana pamoja sana,hhahahhaha
 
siku hizi ni hatari kweli wanaiba hata mahakani pale kisutuwashaliza watu wengi kwenye magari bado ikulu tu..
 
Back
Top Bottom