Wezi wa power window za magari

Wezi wa power window za magari

MWAKALELESYA

Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
5
Reaction score
1
Kamanda wetu wakinondoni oysterbay police tunajua ukiamua jambo hushindwi..HAWA wezi wa power window..side mirror
..radio..na vifaa vingine vyamagari...wamefikia hatua mbaya..na mwanajulikana...tunakuomba utusaidie na uanze na wauza vifaa hivyo WA kariakoo kwakutoa risiti wanakojumua maana ndo wanaowatuma
 
Wezi wanawajua na kila wizi ukifanyika polisi wanajua kila kitu wanachofanya kukwambia wewe ulieibiwa kwamba wanafuatilia,baadae wanakwenda kufuatilia mgao wao..
 
Kuna jamaa angu alipaki gari yake Verosa car parking kesho yake asubuh kwenda kuchukua gari yake akakuta wamemlamba vitu vyote kwenye gari power window, taa kubwa zote za mbele na za nyuma, radio na walitaka washushe na engine sema wakawa wamechelewa sana, na bahati nzuri mmiliki wa parking ni mke wa mchina ilipofika jioni wakaingia show room wakamalizana kimtindo! ila walinzi wote walifukuzwa kazi
 
Kamanda wetu wakinondoni oysterbay police tunajua ukiamua jambo hushindwi..HAWA wezi wa power window..side mirror
..radio..na vifaa vingine vyamagari...wamefikia hatua mbaya..na mwanajulikana...tunakuomba utusaidie na uanze na wauza vifaa hivyo WA kariakoo kwakutoa risiti wanakojumua maana ndo wanaowatuma
Mkuu jitahidi uwasiliane na Somoche, anayo tiba mwafaka ya hao washenzi.
 
Last edited by a moderator:
ni wa mtandao wa hali ya juu
10806480_615874545202750_5523780939171116329_n.jpg
 
Back
Top Bottom