Wezi wa Ng'ombe

Wezi wa Ng'ombe

Lady N

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2009
Posts
1,914
Reaction score
132
Wezi wa mifugo Tarime walipora mifugo kwa jamaa fulani,wakamfunga uchi ktk msalaba ucku kucha,
majirani asubuhi wakaja kumpa pole,jamaa akasema sisikitikii ng'ombe wangu kuibiwa bali huyu ndama waliemuacha akaja kuninyonya naniliu usiku kucha akidhani ni titi la mama yake,nipo hoi nimepiga 8.
 
original ya hii joke tushaisoma hapa jamvini na ipo bomba zaidi. Find another one!
 
Apa wasa ngamseka nagalolorio pasi aika mae
 
:A S 20::A S 20::laugh::laugh::laugh::laugh::clap2::clap2::clap2:
 
duh! Mi hoi. Asante kwa kunichekesha wengine hatujawahi kuisoma hii.
 
Lady N nikutaftie mume wa kikurya? ha ha ha ha poti mmoja atakufaa sana
 
original ya hii joke tushaisoma hapa jamvini na ipo bomba zaidi. Find another one!
sio wote wanaoperiz kila kilichowahi kuwekwa humu jamvini
Apa wasa ngamseka nagalolorio pasi aika mae
nyi ur'o kyitakyie usekye
Lady N hufai unahatarisha usalama wa mbavu zetu!
tunapunguza stress mkuu maana zimezidi, ukiongeza na hili na mabomu ndio kabisa
Lady N nikutaftie mume wa kikurya? ha ha ha ha poti mmoja atakufaa sana[/QUOTitapendeza, fanya2 huo mpango basi, ila atakubali kuwa mume mwenza?
 
Wezi wa mifugo Tarime walipora mifugo kwa jamaa fulani,wakamfunga uchi ktk msalaba ucku kucha,
majirani asubuhi wakaja kumpa pole,jamaa akasema sisikitikii ng'ombe wangu kuibiwa bali huyu ndama waliemuacha akaja kuninyonya naniliu usiku kucha akidhani ni titi la mama yake,nipo hoi nimepiga 8.

Hahahaha amepiga 8 nini?
 
shunga mbafu setu wewe Lady N

Back
Top Bottom