Ukifungwa Tanzania kwa wizi wa fedha za umma ni uzembe wako

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,299
Hakika TANZANIA ni Nchi nzuri sana KUIBA.

Nikikumbuka Jinsi Watendaji na VIONGOZI wa Serikali na Mashirika yake Wanavyopiga PESA ya UMMA na kutajwa ktk REPORT Mbalimbali za CAG lakini Sio BUNGE TAKUKURU au SERIKALI inayowachukulia HATUA WAHUSIKA.

Bunge linadiriki KUHAIRISHA KIKAO cha KUJADILI HOJA Nyeti kama hiyo ,TAKUKURU wao WAMETULIA KIMYAA na SERIKALI inasema WAJITATHIMINI .

Nilitarajia mara tu Baada ya REPORT ya CAG Kupokelewa SERIKALI ingetoa TAMKO kuwa WAHUSIKA WOTE WALIOTAJWA kwenye Hiyo REPORT wajisalimishe na Kurejesha FEDHA za UMMA lakini Wakaambiwa WAJITAFAKARI.

WIZI ulioripotiwa na CAG ni WAKUTISHA Lakini MAMLAKA Husika HAZITISHIKI na WEZI pia hawatishiki .

Na endapo kwa BAHATI Mbaya utashtakiwa basi UKIFUNGWA ni UZEMBE wako.

Tukumbushane FEDHA zinazoibiwa ni FEDHA za MIKOPO KODI na MATOZO mbalimbali.

jamiiforums_1687969967798553.jpg
bavicha.tz_168097986085523.jpg
mwananchi_official_1680796622052696.jpg
geraldhando_1680756005605831.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20230203-031633.jpg
    Screenshot_20230203-031633.jpg
    38.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom