Wezi na mapolisi ni wabia endelevu!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wezi na mapolisi ni wabia endelevu!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by major mkandala, Mar 22, 2010.

 1. m

  major mkandala Member

  #1
  Mar 22, 2010
  Joined: Mar 6, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika napenda kuamini sasa hawa maplisi wana ubia na hawa
  majambazi wanaoiba kwenye ma bank na kwa wafanyabiashara kila siku
  swala hili limeesemwa leo na kada mmoja wa CCM pale alipokuwa akillalamika
  wizi uliotokea kwenye bank ya NMB huko songea kwa kuibwa pesa million 360 kwa njia ya mtandao na kuingizwa kwenye acc moja kabla ya kusambazwa kwenye acc tofauti 10 si hilo muda mchache baada ya kusambazwa ati wahusika wakaenda kuvuna malipo yao na kubakiza 50,000 kila acc..huu si uhuni.....
  Hawa mapolisi wamekuwa wakishirikiana mara kwa mara walianza wanajeshi lakini sasa nanona ubia umeamia kwa mapolisi...ninao ushahidi wizi wa bank ya NMB pale Moshi pesa imetembea wahusika wanakaribia kutoka huku Aliekuwa RCO ambae alikuwa shahidi muhimu kuanza kujikanyaga tofauti na maelezo ya awali...hawa watu wanatutapeli ...wanaitia serikali hasara...ipo siku watanzania tutachoka..alisema...
  katika hatua nyingine watuma msg zaidi ya 15 kwenye taarifa ya habari ya TBC wamependekeza Bank kulindwa na WANAJESHI..
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,474
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Mbona hii si mpya? Imekuwepo tangu enzi za Mahita.
   
 3. m

  major mkandala Member

  #3
  Mar 22, 2010
  Joined: Mar 6, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa watu ni wahuni wanajipanga na majambazi na wengine huomba wapigwe bastola ya mkononi kwenye kona ionekane awakushiriki mungu okoa tanzania....alianza mahita ,tiba...sasa na huyu over nae ...kazi ipo!!!!mh mwema kazi nzito unayo mbele yako...kama hushiriki mambo haya!!!
   
Loading...