Wezi kanisani....

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,514
11,277
Padri aliwaambia waumini wachangishe pesa ya kujenga hospitali. Waumini wakachangisha Tsh 700,000.
Ghafla wezi wakavamia kanisani kisha wakawaamuru waumini watoe pesa zote walizonazo vinginevyo wauliwe.
Waumini wakatoa pesa taslimu zikafika Tsh 62.5 million. Wezi wakakusanya hiyo pesa kisha wakampatia Padri.

Je nani ana makosa, Wezi au Waumini?
 
Wezi..
 
wakati nasoma nilitegemea wachukue na zile alizopewa padri, hawa wezi nahisi watakuwa wapeokoka
 
Sadaka sio lazima kwanza cha zaidi huwa ni fungu la kumi (10%) sasa kutoa zote hata za nauli sasa watarudije makwao na chakula cha mchana hakuna. Kosa ni la wezi kutoa vyooooooooooooote
 
kosa ni la wezi coz kutoa ni moyo na inategemea budget yako la fungu la kumi ndo lazima cjui nimeeleweka?
 
Padri aliwaambia waumini wachangishe pesa ya kujenga hospitali. Waumini wakachangisha Tsh 700,000.
Ghafla wezi wakavamia kanisani kisha wakawaamuru waumini watoe pesa zote walizonazo vinginevyo wauliwe.
Waumini wakatoa pesa taslimu zikafika Tsh 62.5 million. Wezi wakakusanya hiyo pesa kisha wakampatia Padri.

Je nani ana makosa, Wezi au Waumini?
:shock::shock::shock::shock::shock: wezi waliwafanya waumini waingie gharama zingine
 
padri aliwaambia waumini wachangishe pesa ya kujenga hospitali. Waumini wakachangisha tsh 700,000.
Ghafla wezi wakavamia kanisani kisha wakawaamuru waumini watoe pesa zote walizonazo vinginevyo wauliwe.
Waumini wakatoa pesa taslimu zikafika tsh 62.5 million. Wezi wakakusanya hiyo pesa kisha wakampatia padri.

Je nani ana makosa, wezi au waumini?
toa nyingine hii imekaa sanya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom