NullPointer JF-Expert Member Joined Feb 7, 2011 Posts 3,461 Reaction score 2,275 Dec 9, 2014 #21 ina maana kuna mtu hajui kuwa maji ya baharini ni ya chumvi chumvi na hivo hayawezi kata kiu??
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 365,195 Reaction score 843,328 Dec 9, 2014 Thread starter #22 Dreson4 said: ina maana kuna mtu hajui kuwa maji ya baharini ni ya chumvi chumvi na hivo hayawezi kata kiu?? Click to expand... Sio kila mtu anaishi karibu na bahari
Dreson4 said: ina maana kuna mtu hajui kuwa maji ya baharini ni ya chumvi chumvi na hivo hayawezi kata kiu?? Click to expand... Sio kila mtu anaishi karibu na bahari
SONGOKA JF-Expert Member Joined Mar 8, 2012 Posts 1,836 Reaction score 1,845 Dec 9, 2014 #23 egentle said: Ukifa na kiu baharin wew ni chizi Click to expand... poor you: nani kakwambia maji ya bahari yanafaa kwa kunywa.
egentle said: Ukifa na kiu baharin wew ni chizi Click to expand... poor you: nani kakwambia maji ya bahari yanafaa kwa kunywa.
NullPointer JF-Expert Member Joined Feb 7, 2011 Posts 3,461 Reaction score 2,275 Dec 9, 2014 #24 mshana jr said: Sio kila mtu anaishi karibu na bahari Click to expand... Haihitaji mtu awe karibu na bahari kujua bahari ina maji ya chumvi... mtu yeyote mwenye access na internet au tv hii ni very basic knowledge
mshana jr said: Sio kila mtu anaishi karibu na bahari Click to expand... Haihitaji mtu awe karibu na bahari kujua bahari ina maji ya chumvi... mtu yeyote mwenye access na internet au tv hii ni very basic knowledge
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,560 Reaction score 41,509 Dec 9, 2014 #25 naiman64 said: Ahahahaa wewe hukuwa unaogelea ulikuwa unatembea kwenye maji yalipokuzidi yakaingia mdomoni bila ya idhini yaani shukuru Muumba kulikuwa na watu wakatoa msaada la sivyo saa hizi kungekuwa na turubai nyumbani usirudie tena mkuu hiyo kazi ina wenyewe Click to expand... mimi nuksi kwa kuogelea hutaki unaacha niliogelea kutoka zanzibar hadi Tanga
naiman64 said: Ahahahaa wewe hukuwa unaogelea ulikuwa unatembea kwenye maji yalipokuzidi yakaingia mdomoni bila ya idhini yaani shukuru Muumba kulikuwa na watu wakatoa msaada la sivyo saa hizi kungekuwa na turubai nyumbani usirudie tena mkuu hiyo kazi ina wenyewe Click to expand... mimi nuksi kwa kuogelea hutaki unaacha niliogelea kutoka zanzibar hadi Tanga
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 365,195 Reaction score 843,328 Dec 9, 2014 Thread starter #26 MO11 said: mimi nuksi kwa kuogelea hutaki unaacha niliogelea kutoka zanzibar hadi Tanga Click to expand... Hahahahaaa kisa mkasa?
MO11 said: mimi nuksi kwa kuogelea hutaki unaacha niliogelea kutoka zanzibar hadi Tanga Click to expand... Hahahahaaa kisa mkasa?
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,560 Reaction score 41,509 Dec 9, 2014 #27 mshana jr said: Hahahahaaa kisa mkasa? Click to expand... waligoma na boti zao eti bahari imechafuka nakawauliza atasafisha nani wakakaa kimya nikaogelea zangu kufika Tanga nikapozwa baridi
mshana jr said: Hahahahaaa kisa mkasa? Click to expand... waligoma na boti zao eti bahari imechafuka nakawauliza atasafisha nani wakakaa kimya nikaogelea zangu kufika Tanga nikapozwa baridi