KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
Haya sasa sleeping style hizo, uko stage gani mwana MMU?View attachment A bit knowledge_ The meaning of SLEEPING STYLE.xls
Haya sasa sleeping style hizo, uko stage gani mwana MMU?View attachment 71151
Passion in sex than love lol. Just assumption mzabzab.
Post zake zinaonyesha ye na mkewe wanalala mzungu wa nne!Yani wakati naangalia hata kabla sijafikiria vizuri niko kwenye style gani, ghafla jina Wiyelele linakanijia kichwani nikakumbuka post zake, hahahaaa.
Swali hili naweza mjibi mtu mmoja tuuu