Wewe ungefanyaje?

Wewe ungefanyaje?

Joined
Nov 27, 2012
Posts
5
Reaction score
0
Msichana mmoja alimpeleka mchumba kwao kwa utambulisho: Alpofka 2 baba yake akaona kasoro maana kijana alikuwa mweuc tii. Anamatege makali, namakengeza ya maana. Mwanaume alipoona sura ya baba mkwe imebadi lika, akatabasam: Kidogo, la haula! Alikuwa na mapengo hanameno yote ya mbele. Baba akamwita bint mwanangu hebu njoo nje tuongee bint akamjibu baba sema2 hapahapa mchumba wangu mwenyewe kiziw..baba alibaki hoi ingekuwa ni wewe ungefanyaje?
 
Kama binti amemkubali mzee hawezi chomoa ndiyo mkwe huyo
 
Hahhahaha yala yani nifanyajew ndo nishapenda. Na baba itabidi akubali tuu chezea fellings weye

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom