[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hili lipi nje ya uwezo wangu
Mungu ndiye tumaini letu, mtegemee Ili akusahaulishe yoteChangamoto katika maisha ya ndoa.
Ni miaka minne sasa imepita katika ndoa na huu tunaufukuzia wa tano. Ninao watoto watatu wakiwa wawili wa kike na mmoja wa kiume.
Tabia ya Mke wangu ya ukali kupita kiasi kwa wtoto ilinifanya niwe na maswali mengi sana.
Hasira hii haiishii kwa hawa vijana pekee ikawa inaenda hadi kwa ndugu zake hasa mjomba wake ambaye ndiye amemlea baada ya mama yake mkubwa kumkabidhi huko akiwa mdogo.Nilivyoona hali hii ikanibidi nmuulize taratiiibu kabisa hasahasa juu ya chuki kwa mjomba maana huwenda hawa watoto anawafunza akawa anasita kusema. Siku nyingine alipokuwa Tayari akaamua kuniambia kuwa miaka aliyokaa na mjomba wake akisoma shule ya msingi na sekondari, MJOMBA WAKE HUYO MSHIKA DINI alimuweka kinyumba.Yaani kaka wa marehemu mama yake akaamua kuwa anambaka bintiye.
Ni zamani sana kweli na imemtokea yeye ila imi iliniumiza sana kusikia hivyo maana sikutegemea kukutana na mkasa wa aina hii.
Ukatili huu umevuka viwango vya uvumilivu.
Mjomba bado yupo.
Anajinadi kuwa ndiye aliyemsomesha.
Anadai kutambulika kwa nafasi yake ya ujomba.
Ukiwa katika nafasi hii niliyo mimi nipe maoni yako ndugu mwana Jf.
hivi nokia ulipata mke?Hili lipi nje ya uwezo wangu
Pole sana mkuu ,hayo yashapita mjenge kisaikolojia mkeo ayasahau yote alioptia na wewe usilipe uzito kwenye akili yako hilo tukio sababu lilitokea zamani,Changamoto katika maisha ya ndoa.
Ni miaka minne sasa imepita katika ndoa na huu tunaufukuzia wa tano. Ninao watoto watatu wakiwa wawili wa kike na mmoja wa kiume.
Tabia ya Mke wangu ya ukali kupita kiasi kwa wtoto ilinifanya niwe na maswali mengi sana.
Hasira hii haiishii kwa hawa vijana pekee ikawa inaenda hadi kwa ndugu zake hasa mjomba wake ambaye ndiye amemlea baada ya mama yake mkubwa kumkabidhi huko akiwa mdogo.Nilivyoona hali hii ikanibidi nmuulize taratiiibu kabisa hasahasa juu ya chuki kwa mjomba maana huwenda hawa watoto anawafunza akawa anasita kusema. Siku nyingine alipokuwa Tayari akaamua kuniambia kuwa miaka aliyokaa na mjomba wake akisoma shule ya msingi na sekondari, MJOMBA WAKE HUYO MSHIKA DINI alimuweka kinyumba.Yaani kaka wa marehemu mama yake akaamua kuwa anambaka bintiye.
Ni zamani sana kweli na imemtokea yeye ila imi iliniumiza sana kusikia hivyo maana sikutegemea kukutana na mkasa wa aina hii.
Ukatili huu umevuka viwango vya uvumilivu.
Mjomba bado yupo.
Anajinadi kuwa ndiye aliyemsomesha.
Anadai kutambulika kwa nafasi yake ya ujomba.
Ukiwa katika nafasi hii niliyo mimi nipe maoni yako ndugu mwana Jf.
Ww unaringa...hutaki kupatikanahivi nokia ulipata mke?
mimi sikuwa tayari kwanza sipendi kusema uongoWw unaringa...hutaki kupatikana
Kwann hukuwa tayari...sura yangu mbaya?!mimi sikuwa tayari kwanza sipendi kusema uongo
Let the bygones be bygoneChangamoto katika maisha ya ndoa.
Ni miaka minne sasa imepita katika ndoa na huu tunaufukuzia wa tano. Ninao watoto watatu wakiwa wawili wa kike na mmoja wa kiume.
Tabia ya Mke wangu ya ukali kupita kiasi kwa wtoto ilinifanya niwe na maswali mengi sana.
Hasira hii haiishii kwa hawa vijana pekee ikawa inaenda hadi kwa ndugu zake hasa mjomba wake ambaye ndiye amemlea baada ya mama yake mkubwa kumkabidhi huko akiwa mdogo.Nilivyoona hali hii ikanibidi nmuulize taratiiibu kabisa hasahasa juu ya chuki kwa mjomba maana huwenda hawa watoto anawafunza akawa anasita kusema.
Siku nyingine alipokuwa Tayari akaamua kuniambia kuwa miaka aliyokaa na mjomba wake akisoma shule ya msingi na sekondari, MJOMBA WAKE HUYO MSHIKA DINI alimuweka kinyumba.Yaani kaka wa marehemu mama yake akaamua kuwa anambaka bintiye.
Ni zamani sana kweli na imemtokea yeye ila imi iliniumiza sana kusikia hivyo maana sikutegemea kukutana na mkasa wa aina hii.
Ukatili huu umevuka viwango vya uvumilivu.
Mjomba bado yupo.
Anajinadi kuwa ndiye aliyemsomesha.
Anadai kutambulika kwa nafasi yake ya ujomba.
Ukiwa katika nafasi hii niliyo mimi nipe maoni yako ndugu mwana Jf.
sijaona sura yako .mahusiano yanaitaji kuwa serias na commited .mimi sikuwa tayari kiivo ningekukwaza tu ngoja mwakani inshalahKwann hukuwa tayari...sura yangu mbaya?!
Hahahaha mwakani ndio hutonikwaza....zimebaki cku 29 tu ifike hiyo mwakanisijaona sura yako .mahusiano yanaitaji kuwa serias na commited .mimi sikuwa tayari kiivo ningekukwaza tu ngoja mwakani inshalah
duuu pole mkuu! Hapo inabidi umsamehe mkeo huwezi jua ni mazingira gani magumu alikutana nayo mpaka alishindwa kukataa!
Fikiria ukifanya maamuzi magumu wanao itakuwaje? Mpende mkeo ili asana unyama aliofanyiwa