mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,414
- 7,026
Nyie watu hamjambo (in Magufuli's voice).
Hivi nikikuuliza fungu lako la kumi la huo mshahara wako wa Milioni 5, Tsh. 600,000/-, etc unatoa wapi fungu la kumi, utashindwa kunijibu. Utashindwa kutokana na uchoyo na ulaku wako.
Unataka miliooni 5 yote uitumbue peke yako. Unasahau kuwa kuna Mungu. Unatoa wapi fungu la kumi?
Kwa wahitaji, wajane, yatima na walemavu, si sehemu sahihi ya wewe kutoa fungu la kumi. Sehemu sahihi ni kanisani peke yake, au msikitini.
Ukitoa fungu la kumi huko ambako sipo, umepoteza na unakuwa mwizi kwa kumuibia Mungu.
Fungu la kumi unatakiwa ulitoe kwa moyo, pia ni amri ya milele, acheni visingizio vya kijinga.
Fungu la kumi ni LAZIMA, narudia tena kusisitiza hili. Sometimes kuna mmoja alitoa mpaka milioni 6 kwa mwezi. Nikasema woooow its so nice.
Simaanishi kwamba fungu la kumi linaliwa na Mchungaji pekee, no, bali linatumia kuwahudumia watumishi wanaohudumu madhabahuni kwa namna moja au nyingine.
Jamani msiwe wezi. Mbona kwa mganga wa kienyeji akikuambia upeleke ng'ombe, hubishi? Tena unanunua mpaka dume la Tsh. 900,000/- unalipeleka. Why uone nongwa kutoa kanisani? Wewe kijana ni mwizi. Unamuibia Mungu.
Zaka ni LAZIMA! Ni kwa faida yako mwenyewe pia. Acha wizi, alaah!