huyo ni mnyama mpya?Naogopa mbu
hivi mbu ni kundi mnyama siku hizi?naogopa mbu
Kwa biology ya shule ya msingi yuko sahihi tu, maana kuna aina mbili za viumbe hai nazo ni wanyama na mimea.hivi mbu ni kundi mnyama siku hizi?
Mwanamke
Mmmh !? Yale mambo yetu inakuwa vp ?
Near by Soweto Mbeya.
Mwanamke
Mwanamke
jamaaaani! Lool