Wewe una watu au watu wana wewe?

Man
Brother
Friend
Kweli una watu dear

MashaAllah 😍
Zamani mama yangu alikuwa ni zaidi ya hao wote wanne 😍 Sasa amezeeka, amestaafu mimi ndio mtu wake. Ila sijamcount sababu ha deserve kuwekwa kwenye kundi lolote na yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…