Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,582
- 12,444
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hukarogwa wala nini[emoji23]oa hiyo mijimama iliyokubemenda tu.
Emu njoo nikujaribu nione yaliyomo kama yamo
Comments za wadau zitakuroga zaidi.
Hao mabinti unashindwa kuelewana nao coz umeshazoea majimama. Mtatuzi wa hili tatizo lako ni wewe mwenyewe, jitafakari kisha badilika kifikra kwanza.
Nadhani mkuu una nyota ya Rais Macron wa Ufaransa.
Lipia tangazo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ushazoea vya kunyonga mkuu vya kuchinja hutoviweza.
Karoge nawewe bro dawa ya Moto ni Moto[emoji119][emoji119][emoji119] kitororondo
Sent using Jamii Forums mobile app