Wewe uliyeniroga nisamehe nioe sasa

Wewe uliyeniroga nisamehe nioe sasa

kitororondo,

Kwanza nakupa pole ktk harakati zako. Na jengine nakushauri ufanye maamuzi mazito ya Kuoa hao wanawake walio kuzidi kiumri japo pengine Umri wako umeshakwenda. Hujarogwa na mtu yoyote ila ww mwenyew na nafsi yako umejiamulia ktk njia hio. "Nyumba uliojenga na matofali yaliokunjika Ni sawa na kujichimbia kuburi la mwisho wa uhayi wako."
Asante kwa ushauri father

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ndiyo madhara ya Fanani kuzoea hadhira wa aina moja.

Ukizoea mapenzi na maji-mama a.k.a maji-shangazi; yana asili ya ku- occupy space na ku- conquer mind sets za kimapenzi.
Hapo utajikuta hata kwenye chaguzi la mke first priority unampa jimama!

Usiniulizie kilichonitoa huko.

Jibadili mwenyewe, piga sarakasi angani ujirekebishe Psychologically. Uta-enjoy mahusiano yeyote.

Hapo ulipomtishia “uhayi” ataogopa sana. Huyu ni mnyama gani mkuu?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vingi sana na ukipanga mipango inatimia wanajua kutoa mwongozo ambao huleta matokeo bora na huwa nahisi wanakuwa wanaona mbali kuliko mimi mathalani akikwambia hapa usiweke fedha yako utapata hasara ukijitia ujuaji mwisho unakumbana na bonge la hasara hadi aibu
Kwahiyo ukiwa na hao wamama unapata cha kudiscuss?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Mkuu kwa ushauri mzurhp
Haya ndiyo madhara ya Fanani kuzoea hadhira wa aina moja.

Ukizoea mapenzi na maji-mama a.k.a maji-shangazi; yana asili ya ku- occupy space na ku- conquer mind sets za kimapenzi.
Hapo utajikuta hata kwenye chaguzi la mke first priority unampa jimama!

Usiniulizie kilichonitoa huko.

Jibadili mwenyewe, piga sarakasi angani ujirekebishe Psychologically. Uta-enjoy mahusiano yeyote.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vingi sana na ukipanga mipango inatimia wanajua kutoa mwongozo ambao huleta matokeo bora na huwa nahisi wanakuwa wanaona mbali kuliko mimi mathalani akikwambia hapa usiweke fedha yako utapata hasara ukijitia ujuaji mwisho unakumbana na bonge la hasara hadi aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huoni Kama hao ndo wife material according na ulivyoelezea? Nini kinakufanya ushindwe kupata mmojawapo wa kuoa?
 
Hawanaga mpango wa kuzaa na mimi moja ya ndoto yangu nikuwa na mke na watoto walau watatu afu tatizo hiyo ndoa naifungia wapi siitakuwa story Tz nzima mixer maneno ya ndugu

Back
Top Bottom