kitororondo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 597
- 710
- Thread starter
- #61
Nafikiri kufanya hivyo tatizo nguvu ya uma itanikosesha amani kwa maneno na vidole vyao kwangu na kwa mke
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini usitafute jimama ukalioa mkuu? Fanya kitu roho inapenda, utaoa kasichana kadogo ukasumbue bure maana hutaachana na mijimama.
Sent using Jamii Forums mobile app
