ni topic nzuri,ila hayo majibu sasa mnhh..inaelekea watu wengi wetu hatujui jibu la mtoa mada,mie nahisi unahitaji money to make money....lol...labda JF ianzishe mfuko wa kuwasaidia members mitaji,lol
JiraniHahaha...u great thinker wengine tunaupatia humuhumu mkuu tunaingia tukiwa empty headed kabisa so usimlaumu huenda yupo kwenye hatua za mwanzo kabisa za ukuaji...
Haha Rebecca sio hivyo, na kwa wakati huu hata ningepata mtaji sina hakika kama ningeutumia ipasavyo
Kuwa Dalali mkuu utafute mtaji kwabnjia hiyoHahahaha....suala sio kupata....NTAPATA LINI??
Udalali SI utapeli na udalali unao fikiri wewe Ni udalali wa MASHAMBA VIWANJA NA VYUMBA NA MI SIKUSHAURI HUO ILA KUNA UDALALI MZURI NA WENYE HESHMA KTK JAMIIKazi ya kitapeli hiyo mimi siwezi kufanya
Heshima yako jirani. Kumbe umekula munyu nyingi tayariNa kwako pia jirani
Ndio, nilikuwa ndio nimetoka kugraduate
bila shaka hiyo interview ilikuwa noma sana kama ya traKulikuwa na interview idara ya uhamiaji