Wewe ulitokaje?

Wewe ulitokaje?

wewe una wazo la kufanya nini? njoo kwanza na idea yako halafu ndio upate ushauri makini.
 
Habari za Jumatatu hii wakuu.
Binafsi niseme tu wazi kwamba lile tukio la uwanja wa taifa lilinisikitisha na lilinikatisha tamaa sana. Lilinifanya nianze kujitazama upya na kufikiria mwelekeo mpya wa maisha yangu japo sioni direction.
Nikiongea na watu walionizidi umri,hekima na maarifa wananiambia kujiajiri pekee ndiko kutanikomboa...lakini nikiangalia mkononi sina kitu ntajiajiri vipi?
Najua wapo watu hapa waliokuwa kama mimi wakathubutu,wakaweza na sasa wanasonga mbele. Naomba waje waniambie walifanyaje? Yani waliweza kujiajiri bila kuwa na chanzo chochote cha mapato au kwa lugha nyepesi niseme bila mtaji.
Unaweza usiwe wewe ila una ndugu, rafiki,mke/mume,kimada au jirani aliyepitia experience kama hiyo hapo unakaribishwa.
Karibuni.

nenda bank,pride,finca n.k kakope upate mtaji then jiajiri.
 
wewe una wazo la kufanya nini? njoo kwanza na idea yako halafu ndio upate ushauri makini.

Mkuu niseme tu ukweli kuwa sina idea maana kila nnachojaribu kufikiria naona kinataka pesa...
 
tatizo kubwa la wabongo wanashindwa kabla ya kuanza!!!
 
Yap ila kila mtu ana kipimo chake cha uvumilivu.....then sijakaa bure luv...hapa nnakula nnavaa nnatembea bila kutegemea wahisani wamarekani...nnachotaka mimi hapa ni namna gani ntaweza kujiajiri.

kama hujakaa bure..unaweza sema kwa sasa unafanya nini?
 
Ukitaka kufanikiwa kimataifa kwanza unatakiwa uwe na ndoto pana sana unatakiwa ubadilike kila kitu kuanzia mfumo mzima wa maisha na namna unavyochukulia mambo yani uwe Transformed uwe Reborn.

Hauwezi kufanikiwa kwa kuwa na akili ulizo nazo sasa remember you cant solve a problem by using the same mind which created it unless you ponder to rehabilitate it. so get first renewed by coping and surrounding yourself with people and insights which are towards or in prosperity.
 
Habari za Jumatatu hii wakuu.
Binafsi niseme tu wazi kwamba lile tukio la uwanja wa taifa lilinisikitisha na lilinikatisha tamaa sana. Lilinifanya nianze kujitazama upya na kufikiria mwelekeo mpya wa maisha yangu japo sioni direction.
Nikiongea na watu walionizidi umri,hekima na maarifa wananiambia kujiajiri pekee ndiko kutanikomboa...lakini nikiangalia mkononi sina kitu ntajiajiri vipi?
Najua wapo watu hapa waliokuwa kama mimi wakathubutu,wakaweza na sasa wanasonga mbele. Naomba waje waniambie walifanyaje? Yani waliweza kujiajiri bila kuwa na chanzo chochote cha mapato au kwa lugha nyepesi niseme bila mtaji.
Unaweza usiwe wewe ila una ndugu, rafiki,mke/mume,kimada au jirani aliyepitia experience kama hiyo hapo unakaribishwa.
Karibuni.
Ulipata ujasili wa kujiajili
 
Siku hizi kujiajiri milango imefungwa hali mbaya sana kwa sector binafsi jaribu kuangalia maeneo yanayokuzunguka ujue kuna fursa zipi ili uz utilise? Pia angalia pia watu wako wa nguvu unaweza kuwatumiaje ili utusue.
 
Sijatoka wanangu wenyewe! Age 40+ wakati naambiwa life begin at 40, while nishavuka hiyo 40. Uuuwiii kichwa kinauma. Madeni hayasemeki, school fees january hii hapa.

Dah....
 
ni topic nzuri,ila hayo majibu sasa mnhh..inaelekea watu wengi wetu hatujui jibu la mtoa mada,mie nahisi unahitaji money to make money....lol...labda JF ianzishe mfuko wa kuwasaidia members mitaji,lol
 
Back
Top Bottom