henrykilenga
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 294
- 297
Cc Mahondaw
Character assassinationKupangiana maisha huku

Huyu jamaa reply zake ni za kupoteza muda na kujaza replied tuHakika umenena...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
ndiyo maana mambo yao nawaachiaga wenyewe...
Cc: mahondaw

kwel Smart911 ni mvumilivu sana yn kupondwa kote uko lkn umempa mda mtoa mada much respect broHabari wakuu.
Mimi sio mchangiaji sana wa thread humu lakini kuna member wengine wanaboa.
Kama huyu anayejiita smart911. Yeye kila unapokuta reply yake hakuna cha maana anachoreply zaidi ya maneno haya "ngoja waje" au "ngoja waje kukupa mwongozo".
Hivi huna shughuli za kufanya au ndio kati ya wale wenye IQ ndogo mno.
Jirekebishe mkuu kama huna cha kuchangia waweza kupiga kimya.
Najua kuwa bando ni lako, device ni yako na muda ni wako, ila jaribu kukua.
Muwe na usiku mwema
Kuna kale kajamaa kaliibuka kipindi kile kenye avatar ya mtoto aliyebemendwa kanaitwa @Joveless (kama sikosei)Habari wakuu.
Mimi sio mchangiaji sana wa thread humu lakini kuna member wengine wanaboa.
Kama huyu anayejiita smart911. Yeye kila unapokuta reply yake hakuna cha maana anachoreply zaidi ya maneno haya "ngoja waje" au "ngoja waje kukupa mwongozo".
Hivi huna shughuli za kufanya au ndio kati ya wale wenye IQ ndogo mno.
Jirekebishe mkuu kama huna cha kuchangia waweza kupiga kimya.
Najua kuwa bando ni lako, device ni yako na muda ni wako, ila jaribu kukua.
Muwe na usiku mwema
Hao wote huenda ni Moderators wa Jamii Forum makao makuu.Kama Smart911 anakukera Joseverest ndo ungemloga kabisa!